Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Bado hujajua unachokifanya
SIKU UKIJUA UTABADILIKA SANA!
Nitajua lini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujajua unachokifanya
SIKU UKIJUA UTABADILIKA SANA!
Hahaaaaa ukweli mchungu japo umenifanya nicheke....
Sa nisipokipikoa utasema huyu mwanamke hajui lolote.. nikija kwako nikakuta nguo chafu nikaamua kuzifua nakuwa nimejipendekeza...sipaswi kumsaidia mwenza wangu jamani
Ushauri mzuri nimesoma mara mbili mbili aisee hasa hapo uliposema nini kinampa shauku ya kukuoa
kama mimi sijui nikoje yaani mwanamke akinijia juu siku moja tu! nitaendelea nae ila kichwani tayari sio mke wangu ila ni sehemu ya kujipunguzia nanihii tu....
kama mimi sijui nikoje yaani mwanamke akinijia juu siku moja tu! nitaendelea nae ila kichwani tayari sio mke wangu ila ni sehemu ya kujipunguzia nanihii tu....
Heaven on Earth wife material wanaweza kusema hivyo. Naweza kukaa nawewe na ukafanya yote yale ambayo kwako unayaona yanakufanya uwe mke ila bado vigezo vyangu vikawa havijatimia kwako.
Mke ni zaidi ya vile vitu unavyofanya kama kufua au kupika au kufanya usafi wa ndani ila bado ukawa huna vile vigezo vyangu. Mke mwenye ucha Mungu, heshima, mwenye mawazo ya mustakabali wetu, nikuone kama mama wa mtoto ambaye atawalea watoto wangu na sio uzuri wa nje au wa mwili wako. Mwenye utii na heshima kwangu na kwa ndugu zangu na hata marafiki zangu. Anayejali uwepo wao na kuuheshimu na sio siku nimekuja na marafiki zangu ukaanza kukunja sura. Kuweza kuhimili hali zote za maisha nikiwa nazo na nikiwa sina sio nimeishiwa siku moja unanikunjia ndita. Mwenye uelewa wa nini maana ya maisha na sio kila siku club na wewe na wewe na club au kila boutique mpya inayofunguliwa mjini wewe unaijua au club mpya au kiwanja kipya na wewe umo
Mke ni zaidi ya sura nzuri na zaidi ya urembo au utendaji wa kazi
(mawazo yangu usinipige mawe Heaven on Earth)
Red hiyo, ukiyafanya hayo kwa mwanaume hawezi kukuoa kamwe lazima aishie tu, maana inaeleweka watoa hayo ni wale waloshindikana jijini mpaka vijijini, anaejiheshimu hawezi fanya hayo, inawezekana hii nayo ni sababu kubwa inayowafanya wanaume wasituoe sasahivi
Heshima nakumpenda mwanaume 100%,usiwe na kiburi au mbisho,vinginevyo mtandao utatumiwa na kuolewa huolewi.
Vipi upo single???
simple and clear.... damu zikiendana tu!!!
ndoa hailazimishwi na kugawa game au kubana hakudetermine chochote, unaeza ukatoa tigo miaka nenda rudi na hata pete ya uchumba usipate, ukawa na ma*$ko makubwa ka vera au maso na bado ukaishia kuchangia wenzio harusi zao....
Mtu kakujia juu siku moja ndio tayari anakuwa wa kupunguzia nanihiii mazuri yote yanafutika... anavyojitoa juu yako unakua huoni tena
Unapenda kutetemekewa kweli....
Wanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
Hahahahaaaaaaa ....
Unaweza uletewa barua yenye matusi
Je utamhoji yule aliyekuletea kuhusiana na yale matusi au utamtafuta aliyekuandikia?
Damu kuendana zinaendanaje???
We ukiwa group A na mie A basi hapo ndoa tayari
Wanawake wanasema kuolewa ni BAHATI, na sisi wanaume tunasema kuoa ni Maamuzi.
Kwa sasa idadi ya manaume wenye mpango wa kufanya maamuzi ya kuoa ni wachache sana, hii inatokana na ndoa kuwa na usaliti mwingi, ukizingatia wanandoa siku hizi wanachepuka hadharani, hii husababisha ambao hawajaoa wafikirie mara 3 kabla ya kuoa.
Pia wanawake siku hizi wamekuwa na ufahamu mkubwa, hii husababisha wanaume wengi kuwagwaya (kuwaogopa) kuwaoa, kwani kiasili mwanaume hupenda kuwa juu ya mwanamke kwa kila kitu.
Kwa kifupi wanaume tunapenda mwanamke asiyejua sana vitu, asiyechepuka, mpole, msafi, anayejua wajibu wa mke na mwenye upendo.