Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ukweli ni mchungu lakini lazima usemwe hata kama hamkubaliani nao.
******* Kama unamfanyia yoote hayo kwenye RED kwa nini akuoe, Ni kipi kinachompa hata shauku au muamko wa kukuoa? kwa lugha laini huko ni kujirahisisha.... japo najua wengi hapa watatoa povu. Nadiriki kusema wengi walioolewa baada ya mahusiano ya muda mrefu ya kuhudumiana kwa kila kitu... Mimba ndio ilikua factor kubwa japo wapo WACHACHE waliokaa vizuri na wakaolewa vizuri.... Ni vigumu sana kumfurahisha mwanaume kwa kumkubalia kila atakalo... ukiwa mtu wa ndio ndio unajitafutia matatizo
Hivi mtu kuja kunifulia, kunipikia una anzia wapi? Kwani nimekuoa? Sina mikono kwani kabla sijawa na wewe nilikua nafanyaje? nyie acheni kujipendekeza... Hebu fikiria mtu anataka akufanye kinyume na maumbile unamkubalia... hapo kuna ,mke au mume hapo? vitu vingine muwe mnafikiria... Mwanaume anayetaka kukuharibu hakufai kwa namna yeyote.**********
Hahaaaaa ukweli mchungu japo umenifanya nicheke....
Sa nisipokipikoa utasema huyu mwanamke hajui lolote.. nikija kwako nikakuta nguo chafu nikaamua kuzifua nakuwa nimejipendekeza...sipaswi kumsaidia mwenza wangu jamani
Ushauri mzuri nimesoma mara mbili mbili aisee hasa hapo uliposema nini kinampa shauku ya kukuoa