Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua sisi wanaume huwa tuna kasumba moja kwamba kama umeweza kunijia juu siku moja basi ni ishara mbaya endapo utakuwa ndani ya ndoa!!!!!
nahitaji hata kama nina kosa niweke chini nikiwa nimetulia kistaarabu sio kukunja mdomo tena kama tunapiga stori niulize "mbona ulifanya hivi mpenzi wangu tena kwa sauti ya upole" sio wewe nimekosea basi ni makelele simu unakata nikikutumia sms hujibu yaan ni vurugu halafu baadae unaniambia samahani aiseee nitakusamehe ila hapo sio mke wangu!!
nitajipunguzia tu nanihiii basi...............!!!
safari moja huanzisha nyingine....red kwanza...ikiwezekana anafuata blue...
Kwenye red imekaa safiii sana hapo. Kaukweli fulani.Wanawake wanasema kuolewa ni BAHATI, na sisi wanaume tunasema kuoa ni Maamuzi.
Kwa sasa idadi ya manaume wenye mpango wa kufanya maamuzi ya kuoa ni wachache sana, hii inatokana na ndoa kuwa na usaliti mwingi, ukizingatia wanandoa siku hizi wanachepuka hadharani, hii husababisha ambao hawajaoa wafikirie mara 3 kabla ya kuoa.
Pia wanawake siku hizi wamekuwa na ufahamu mkubwa, hii husababisha wanaume wengi kuwagwaya (kuwaogopa) kuwaoa, kwani kiasili mwanaume hupenda kuwa juu ya mwanamke kwa kila kitu.
Kwa kifupi wanaume tunapenda mwanamke asiyejua sana vitu, asiyechepuka, mpole, msafi, anayejua wajibu wa mke na mwenye upendo.
Ningependa Heaven on Earth aisome hii maneno kwa makini sana kwasababu ina kitu kikubwa sanaMsituone hatuna akie nyie..,, Hapo tunawatumia tu wala hakuna tunachopima hapo.. yaani hadi unifulie ndio ntajua unajua kufua au hadi unipikie ndio ntajua... Mungu ametupa wanaume akili ya ziada Heaven on Earth ... Vitu vingi hatuhitaji wala kukuona unafanya..
Wanaume nyie waoneni tu.... Sio rahisi kumridhisha mwanaume my friends.... Just be you na fanya kila uwezalo uzidi KUWA MKE MWEMA NA BORA watakuja kukupigia magoti wakuoe... usiseme ntakuja kuwa mke mzuri...KUWA SASA NA ISHI HIVYO na kwamwe msifikiri kwa kujirahisisha kwa mwanaume kunakupa chochote zaidi ya kujiongezea ZEREU
Msituone hatuna akie nyie..,, Hapo tunawatumia tu wala hakuna tunachopima hapo.. yaani hadi unifulie ndio ntajua unajua kufua au hadi unipikie ndio ntajua... Mungu ametupa wanaume akili ya ziada Heaven on Earth ... Vitu vingi hatuhitaji wala kukuona unafanya..
Wanaume nyie waoneni tu.... Sio rahisi kumridhisha mwanaume my friends.... Just be you na fanya kila uwezalo uzidi KUWA MKE MWEMA NA BORA watakuja kukupigia magoti wakuoe... usiseme ntakuja kuwa mke mzuri...KUWA SASA NA ISHI HIVYO na kwamwe msifikiri kwa kujirahisisha kwa mwanaume kunakupa chochote zaidi ya kujiongezea ZEREU
mimi binafsi nampenda mwenye utii na anipende ,maana wanaume tunapenda kuheshimiwa kwanza tofauti na wanawake ambao wanahitaji sana upendo
utii+upendo lazima weeding bell zilie
ukileta ujuaji mwanamke utamegwaa mwisho utaishi kusema wanaume baba yao mmoja
tehtehh..kama namwona vile....Hahaaa yaani umenichekesha sana hasa pale ulipoanzia kwenye mavazi... mie kusema ukweli napenda nivae visketi flani sio kimini saana ila napenda nguo fupi sio ndefu.. vigauni simple lakin iwe fupi huu ndio sosi ya ugomvi kwenye mahusiano
Nakumbuka niliwahi kumjibu mtu kuwa "ulinikuta hivi hivi na utaniacha hivi... yaani hiyo kauli ilileta mfarakano ajabu
safari moja huanzisha nyingine....red kwanza...ikiwezekana anafuata blue...
Nitajua lini sasa
1.Mweye mapenzi ya kweli
2.Mwenye Tabia nzuri
3.Mwenye uchu na maendeleo
4.Asiyependa makuu
5.Mvumilivu.
Mimi nikipata mwenye hizo sifa naoa fasta sana. Kama yupo aniPM Mia
Ningependa Heaven on Earth aisome hii maneno kwa makini sana kwasababu ina kitu kikubwa sana
Fake ni fake siku zote,mwanaume ni kiumbe ambae ana saifa moja kubwa sana [anaejitambua lakini] mwanamke ambae anastahili kuolewa sio yule ambae anafanya mambo kwasababu ya kuolewa,huyu anaonekana kabisa ana fake
Mwanamke ambae anastahili kuolewa huwa yeye na hata pale unapoongea nae tu unaona kabisa huyu ni mke wa kuoa na mengine yanaonekana zaidi kadri ambavyo anaendelea kuwa kwenye uhusiano
W anawake ambao wana sifa ya kuolewa wala hawatumii nguvu nyingi kumshawishi mwanaume kumuoa kwasababu nikishagundua tu wewe ni wife material siwezi kupoteza muda,nakuoa fasta ili wasije kukupeperusha
Sijui kama utakuwa umenielewa!
Mzoea kulamba mwiko haachi,
Mimi huwa nasema kila siku...wanaume hawasomeki hata kidogo tena hawaeleweki wanataka nini. Unaweza kumfanyia yote unayoona wewe kwamba ni mazuri lakini akaishia kukudharau tu na kukuona hufai kuwa mkewe...ajabu hii mtu anafaa kuwa girlfriend lakini kuwa mke hafai...!!! Aisee mi msimamo wangu....nitafanya lile linalonifurahisha na kunipa amani mimi...maana najua mwanaume hata ungejitahidi kujipendekeza mwisho wa siku mtu wa kumuoa atachagua yeye. Na huenda unafanya hayo ukijua kuwa unamfanyia hayo mume mtarajiwa kumbe maskini ya Mungu mko nane mnashindanishwa.....!!! Mwisho wa siku atakayeolewa ni mmoja tu wengine huko mnabaki na majuto. I'll always be me, doing what makes me happy baaaas....kumridhisha mtu big no....mana najua mwisho wa siku hata nikimwagwa sitojuta kwa ajili ya yale niliyofanya ili kumshawishi.....
Habari ya kujizeesha baadae anakuja kuoa kabinti kabichi inahusu..???
Hahaaaaa ukweli mchungu japo umenifanya nicheke....
Sa nisipokipikoa utasema huyu mwanamke hajui lolote.. nikija kwako nikakuta nguo chafu nikaamua kuzifua nakuwa nimejipendekeza...sipaswi kumsaidia mwenza wangu jamani
Ushauri mzuri nimesoma mara mbili mbili aisee hasa hapo uliposema nini kinampa shauku ya kukuoa
Sifa za kuolewa na MO11
-akubali kuachishwa kazi kama anafanya kazi yaani awe mama wa nyumbani hapa kuna vitu vingi inabeba kwani hatuwezi kuishi pamoja halafu kila mtu ana malengo yake
-Ujuaji wanawake wa siku hizi ni wajuaji kila kitu anajua huyo hanifai hata kama anajua mi nisijue kama anajua hadi atakapoulizwa
-Mwanamke ambaye yupo bize na simu hanifai kila social network yupo huyo akaolewe na google sio mimi
-Utii mwanamke unisikilize sio kila kitu ubishi ubishi kama ulimwengu wa kambale
nb: sura hubadilika umri unapoenda
makalio kuna ya kichina umri kienda madhara yataonekana
hizo ni sifa za mke wangu mtarajiwa sio zako
Sifa za kuolewa na MO11
-akubali kuachishwa kazi kama anafanya kazi yaani awe mama wa nyumbani hapa kuna vitu vingi inabeba kwani hatuwezi kuishi pamoja halafu kila mtu ana malengo yake
-Ujuaji wanawake wa siku hizi ni wajuaji kila kitu anajua huyo hanifai hata kama anajua mi nisijue kama anajua hadi atakapoulizwa
-Mwanamke ambaye yupo bize na simu hanifai kila social network yupo huyo akaolewe na google sio mimi
-Utii mwanamke unisikilize sio kila kitu ubishi ubishi kama ulimwengu wa kambale
nb: sura hubadilika umri unapoenda
makalio kuna ya kichina umri kienda madhara yataonekana
hizo ni sifa za mke wangu mtarajiwa sio zako