Heaven on Earth wife material wanaweza kusema hivyo. Naweza kukaa nawewe na ukafanya yote yale ambayo kwako unayaona yanakufanya uwe mke ila bado vigezo vyangu vikawa havijatimia kwako.
Mke ni zaidi ya vile vitu unavyofanya kama kufua au kupika au kufanya usafi wa ndani ila bado ukawa huna vile vigezo vyangu. Mke mwenye ucha Mungu, heshima, mwenye mawazo ya mustakabali wetu, nikuone kama mama wa mtoto ambaye atawalea watoto wangu na sio uzuri wa nje au wa mwili wako. Mwenye utii na heshima kwangu na kwa ndugu zangu na hata marafiki zangu. Anayejali uwepo wao na kuuheshimu na sio siku nimekuja na marafiki zangu ukaanza kukunja sura. Kuweza kuhimili hali zote za maisha nikiwa nazo na nikiwa sina sio nimeishiwa siku moja unanikunjia ndita. Mwenye uelewa wa nini maana ya maisha na sio kila siku club na wewe na wewe na club au kila boutique mpya inayofunguliwa mjini wewe unaijua au club mpya au kiwanja kipya na wewe umo
Mke ni zaidi ya sura nzuri na zaidi ya urembo au utendaji wa kazi
(mawazo yangu usinipige mawe Heaven on Earth)