Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Heaven on Earth wife material wanaweza kusema hivyo. Naweza kukaa nawewe na ukafanya yote yale ambayo kwako unayaona yanakufanya uwe mke ila bado vigezo vyangu vikawa havijatimia kwako.
Mke ni zaidi ya vile vitu unavyofanya kama kufua au kupika au kufanya usafi wa ndani ila bado ukawa huna vile vigezo vyangu. Mke mwenye ucha Mungu, heshima, mwenye mawazo ya mustakabali wetu, nikuone kama mama wa mtoto ambaye atawalea watoto wangu na sio uzuri wa nje au wa mwili wako. Mwenye utii na heshima kwangu na kwa ndugu zangu na hata marafiki zangu. Anayejali uwepo wao na kuuheshimu na sio siku nimekuja na marafiki zangu ukaanza kukunja sura. Kuweza kuhimili hali zote za maisha nikiwa nazo na nikiwa sina sio nimeishiwa siku moja unanikunjia ndita. Mwenye uelewa wa nini maana ya maisha na sio kila siku club na wewe na wewe na club au kila boutique mpya inayofunguliwa mjini wewe unaijua au club mpya au kiwanja kipya na wewe umo
Mke ni zaidi ya sura nzuri na zaidi ya urembo au utendaji wa kazi
(mawazo yangu usinipige mawe Heaven on Earth)
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma Bf zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa??_

Kwahisani ya Insta.

Red hiyo, ukiyafanya hayo kwa mwanaume hawezi kukuoa kamwe lazima aishie tu, maana inaeleweka watoa hayo ni wale waloshindikana jijini mpaka vijijini, anaejiheshimu hawezi fanya hayo, inawezekana hii nayo ni sababu kubwa inayowafanya wanaume wasituoe sasahivi
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma Bf zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa??_

Kwahisani ya Insta.

asilimia kubwa tunapenda wanawake wasiokuwa na tabia za KIMALAYA.
 
Dah!Nilivyoona tu umetoa mahali nimechoka na "mudi" ya kuchangia imeisha

Yangekuwa ni mawazo yako ningesema jambo lakini kwakuwa sio mawazo yako nimechoka ghafla!
 
Kooooooooooooh! Koooooooh! Jamani goodmorning iko wapi!

Jamani hali kweli ingekua hivo BIASHARA YA NGONO FORMAL AS WANAOKAA BARABARANI NA INFORMAL HUKU OFISINI TUNAVOCHUNANA, NA KUDAI MONEY FOR SEX ISINGE EXIST!

Tofauti na maneno yenu hii biashara inashamiri hatariiiiii! Watu wanakaa mjini for just being beautiful!

Anyway swali limekuwa directed kwa wanaume! Let me pass! BTW HIVI WANAUME WOTEEE HAMJAWAHI KUTAKA KUMUOA DEMU AKAWAGOMEA SABABU YA ULOFA, UBAYA, ETC ALIKUWA ANAWACHUNA TOO? IN POLITE WAY AKWAAMBIA YOU ARE NOT GOOD ENOUGH FOR ME, AU AKAOLEWA NA MSHAKJI MWINGINE UKABAKI UMENINGINIZA PU.MBU! Hahahaaaaaaaaa, JUST ASKING! Wale tuliosoma chuo I SEE YOU
 
Unaoa mwanamke ambae mnapendana bila hivyo itakuwa usumbufu.

Mtu mnaependana lazima kutakuwa na uvumilivu na kuheshimiana...
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma Bf zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa??_

Kwahisani ya Insta.

Hii kitu inayoitwa kupotezeana muda maana yake ni nini hasa? Kwan mwanaume hapotez muda. Unaposema kupotezea muda una maana gani? Mwisho wa siku wanawake ni wengi kuliko wanaume. Hata leo hii ikiondokea kila mwanaume akao mwanamke mmoja kuna ambao hawata pata wa kuwao.
Hivyo ukiona hujaolewa fahamu ni sawa na wengine ambao wamekosa.
Yapasa tu kuelewa kuwa NDOA siyo AJIRA. Hili ni jambo la msingi, ila NdOA ni WAJIBU wenye HESHIMA.
 
Wanawake wanasema kuolewa ni BAHATI, na sisi wanaume tunasema kuoa ni Maamuzi.

Kwa sasa idadi ya manaume wenye mpango wa kufanya maamuzi ya kuoa ni wachache sana, hii inatokana na ndoa kuwa na usaliti mwingi, ukizingatia wanandoa siku hizi wanachepuka hadharani, hii husababisha ambao hawajaoa wafikirie mara 3 kabla ya kuoa.

Pia wanawake siku hizi wamekuwa na ufahamu mkubwa, hii husababisha wanaume wengi kuwagwaya (kuwaogopa) kuwaoa, kwani kiasili mwanaume hupenda kuwa juu ya mwanamke kwa kila kitu.

Kwa kifupi wanaume tunapenda mwanamke asiyejua sana vitu, asiyechepuka, mpole, msafi, anayejua wajibu wa mke na mwenye upendo.
 
Mimi huwa nasema kila siku...wanaume hawasomeki hata kidogo tena hawaeleweki wanataka nini. Unaweza kumfanyia yote unayoona wewe kwamba ni mazuri lakini akaishia kukudharau tu na kukuona hufai kuwa mkewe...ajabu hii mtu anafaa kuwa girlfriend lakini kuwa mke hafai...!!! Aisee mi msimamo wangu....nitafanya lile linalonifurahisha na kunipa amani mimi...maana najua mwanaume hata ungejitahidi kujipendekeza mwisho wa siku mtu wa kumuoa atachagua yeye. Na huenda unafanya hayo ukijua kuwa unamfanyia hayo mume mtarajiwa kumbe maskini ya Mungu mko nane mnashindanishwa.....!!! Mwisho wa siku atakayeolewa ni mmoja tu wengine huko mnabaki na majuto. I'll always be me, doing what makes me happy baaaas....kumridhisha mtu big no....mana najua mwisho wa siku hata nikimwagwa sitojuta kwa ajili ya yale niliyofanya ili kumshawishi.....
Habari ya kujizeesha baadae anakuja kuoa kabinti kabichi inahusu..???
 
Ukweli ni mchungu lakini lazima usemwe hata kama hamkubaliani nao.

******* Kama unamfanyia yoote hayo kwenye RED kwa nini akuoe, Ni kipi kinachompa hata shauku au muamko wa kukuoa? kwa lugha laini huko ni kujirahisisha.... japo najua wengi hapa watatoa povu. Nadiriki kusema wengi walioolewa baada ya mahusiano ya muda mrefu ya kuhudumiana kwa kila kitu... Mimba ndio ilikua factor kubwa japo wapo WACHACHE waliokaa vizuri na wakaolewa vizuri.... Ni vigumu sana kumfurahisha mwanaume kwa kumkubalia kila atakalo... ukiwa mtu wa ndio ndio unajitafutia matatizo

Hivi mtu kuja kunifulia, kunipikia una anzia wapi? Kwani nimekuoa? Sina mikono kwani kabla sijawa na wewe nilikua nafanyaje? nyie acheni kujipendekeza... Hebu fikiria mtu anataka akufanye kinyume na maumbile unamkubalia... hapo kuna ,mke au mume hapo? vitu vingine muwe mnafikiria bwana... Mwanaume anayetaka kukuharibu hakufai kwa namna yeyote.**********

Sihitaji unipikie na kunifulia nijue wajua kufanya kazi... inawezekana hizo ndio kazi unazozichukia kuliko zoote unafanya tu kuandaa mazingira... Kuwa wewe, Usimkubalie mwanaume vitu kirahisi rahisi hivyo... wengine wameharibiwa kwa uoga tu... nisipomkubalia nitaachwa au ataenda kwingine... mnaumizwa sana.. Kwani akikuacha hakuna wengine? nani kakuambia huyo ndio anayekufaa zaidi ya wengine? Ope your eyes friends...... Kama ni Hapana hapana, hawezi aende zake... japo hataenda.. huwa tunawatishia tu ili tupate tunachotaka. (na mwanaume mzuri na Mwema akikuona una misimamo yako mizuri unayoisimamia kwa dhati ndio anajua kuna mtu hapo..... ukiwa mrahisi mrahisi umeumia... jua wewe ni daraja tu la kuvukia kwa wengine au anapoozea apo machungu ya yule anayempenda halafu ana msimamo.)

Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma Bf zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,
wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa??_

Kwahisani ya Insta.
 
[h=2]ni UTAALAM AU FUJO?[/h]
Kupiga nje-ndani a.k.a **** kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......

Utaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo" lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye kutokana na utamu/raha anayoipata.

Kumchosha mtu kutokana "haraka zako" ktk mzunguuko wa kwanza sio ujanja bali ni ubinafsi.......anatakiwa kuchoka kutokana na kufika kileleni hali ambayo huwa haimalizi bali kuongeza hamu ya kungonoka.

Uchovu wa mwili (aches) hujitokeza siku inayofuata na mara nyingi ni kutokana na kukaza misuli wakati unaita kilele au umefika mara nyingi.
kwa hisani ya jukwaa la wakubwa

Uliyoyasema yanahusina na mada hii kiajee????
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma Bf zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa??_

Kwahisani ya Insta.

Wanaume siku zote twapenda wanawake wagumu sana.
Sasa wewe kwa sababu unanipenda ndio unipe vyote tena siku siku ya kwanza tu kuniona. Unafikiri sitopata mashaka kwa kukuona rahisi sanaaaaaa.
Kwa mimi nikipiga saund bila kutimiza miaka 3 bila kukupata ndio nakuoa bila hivyo ndoa isikie kwenye bomba tu.
 
Mi naona kila mtu anatafuta wanao endana yaan wakikaa wote wanashabihiana kitabia.

Utii ni kitu cha jumla yaani kila mwanaume anataka mwanamke anaye msikiliza na kumheshimu ata kama yee mwenyewe nidhamu hana.
 
Back
Top Bottom