Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Siku hizi ukitongoza unaonyesha Bank card, uwe na japo corola, umepanga angalau chumba na sebure

mitongozo ya sikuhizi full ukauzu, hakuna kuchora chini wala kupigana kalenda....!
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?

Kwa hisani ya Insta.
 
mimi binafsi nampenda mwenye utii na anipende ,maana wanaume tunapenda kuheshimiwa kwanza tofauti na wanawake ambao wanahitaji sana upendo
utii+upendo lazima weeding bell zilie
ukileta ujuaji mwanamke utamegwaa mwisho utaishi kusema wanaume baba yao mmoja
 
mwenzanguuuuuu!!!! embu tuwaulize kwanza, mana mtu unajishughulisha mpaka lakin mwisho wa siku unaambulia patupu....
 
Back
Top Bottom