Fast Forward
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 551
- 709
Sifa kubwa kabisa ya mke au mume ni uchamungu sote tumeelekezwa na vitabu vitakatifu ila kwa utashi wetu wa kurahisisha mambo ndio hivyo tunaoana leo wiki ijayo tumeachana yote hii tumeacha mafundisho tuliyopewa na vitabu vyetu. Kwa sisi wanaume tunapenda mtu anayejitambua kuwa yeye ni nani na daima yeye awe ni mwenye unyenyekevu,sio mwanamke ukikosea kidogo atapayuka hadi mtaa wa 3 wanajua, kuwa na sifa za mke zinavigezo vingi kutokana na jinsi unavyoishi siku zote na kwakuwa watu huyatumia mazoea vibaya basi hushangaa siku anapoolewa ambaye wala kwenye mahusiano hakufikiriwa kama ndio mlengwa hapa mtatumika sana kama daraja la ruvu