Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

mwanaume anapenda mwanamke mwenye kujielewa baass
ndo mana pretenders wakiolewa baadae wakija onyesha makucha uhalisia wao mtu anakwambia najuta kwa kweli kumuoa
ukijielewa we mdada baaas yatosha
kingine usililie UZURI LILIA BAHATI

Mkuu halafu mapretender huwa hawadumu ndoani, wanaishia kuachwa solemba miaka michache baada ya ndoa.
 

Proffesor anasema..... well said....
 
Unanikosha mydia





 
Proffesor anasema...mwanaume.. kuoa n perspective..... haijalish upo naye miaka kibao na unamfanyia mazur ... very perspective. .
 
Hahahaaaa... Ndio hivyo rafiki yangu.... Nikisema zaidi hawa jamaa watanipiga mawe hapa muda si mrefu... Let me reserve my other comments aisee.

Hhaahahaaaa... kumbe na wewe umeshafulishwa na kuosheleshwa vyombo vya kutosha eeee!!! hahahahaaaa... you seem very smart though!!!!

Huyo rafiki yako .. ni kweli wengi wanajilazimisha kufanya wasivyopenda ili kuleta impression ila wanasahau wanaume TUNAONA HATA SIRINI ... we listen so much and every thing you guys say counts a lot since it carried the reality... So ukiona mwanaume anapenda sana kukusikiliza na kukuchokonoa stories mbali mbali jua anajua anachokifanya. (anaongea vichache anakuachia uwanja) na unajikamatisha mwenyewe... especially consistency iliopo kwenye stories zako, unayoyafanya, na uliowahi kusema, unayoyasema na unachotaka yeye aamini..... kumejificha uhalisia mwingi saanaa..... So jamaa anakusikiliza weee... anajua rohoni hiki kimeo tu.. so unapikilishwa, unafulishwa, unadekishwa ''in the name of love'' n.k n.k

Ila ukiona jamaa yeye kila saa anadominate mazungumzo kama mtu aliefungulia redio... Huyo wewe ndio utamjua zaidi kuliko yeye atavyokujua (hapa ni tofauti na wale watu ambao wanamasihara sihara.. maana kuna wengine wanakusoma in the name of masihara masohara)
Poleni sana aisee
 

Well said mkuu!
 
Nashukuru sana Kaka BAK kuniita, Nimeusoma mara mbili mbili, Mr Rocky amefunguka kwa hekima na maarifa sana.

Uwe na wakati mwema sana Brother.
Mkuu Mr Rocky ahsante sana kwa mchango mzuri uliojaa hekima na busara tele. Mchango huu naomba pia usomwe na ndugu yetu Mkuu Tized.
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo illuh, ina maana muda wetu pia haupotei? hata sisi tuna laana zetu vile vile kwenu kwa kutuchezea na kutupotezea muda.... Alaaaaaaa!!!!!! Am kidding any way!!

Red... ukifanikiwa kumuonesha anayekupenda hivyo... utakua umefanya asignment yako bara bara!!!!!!!. Of course you are likely to win
 
Reactions: BAK
Kumbuka unapompotezea muda mwanamke huwa unathamani sana ...Mwanamke anakikomo cha umri wa kuzaa, ila mwanaume hana kikomo cha umri wa kuzaa..yeye wakati woote mayai yake yapo haii.
Ni bora kama humpendi mwanamke mpe za uso sasa yeye kama akikung'angania itakuwa shauri yake.




 
1.Usinipe tigo,
2.Nikubali 1st day
3.Usiniombe hela ya sim
mapema
4.Niulize kuhusu familia yangu na malengo
5.Mengineyo mautundu
 
ASANTE...... NAKUBALIANA NA WEWE MIA KWA MIA.

Pia inasaidia kukuondolea ile kali ya kujisikia kama una hatia vile.
 
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Wadada waachane na biashara ya kwenda kujitoa kibiongo kufua mirundo ya nguo na kukwangua masufuria huku hujaolewa, kisa? Kila akienda anabeba vigauni, khanga kwenye rambo alimradi kujihamishia kiaina...ya nini hayo? Ndio mwisho wa siku tunakuja ona kama tumetendwa kwa sababu tunajihakikishia kisa tulikwangua masufuria.

Ngoja tuendelee kuwasikiliza tuone vigezo vyao, manake kuna wanawake wana ulimi laini...hewala bwana kibao lakini hawajaolewa au wameachwa.
 

Mara nyingi kama sio zote tatizo huanza pale ambapo unadhani unaonewa

Hata vurugu nyingi huanzia hapo,yaani lile kundi ambalo linadai au kudhani linaonewa ndilo huanza harakati za kujikomboa

Kwenye kadhia hii wanawake mnadhani nyie tu ndio mnaopotezewa muda,kuchezewa na memngine kama hayo,hii sio kweli kabisa kwani haya yapo pia upande mwingine,ukijua unachokitaka wala hutajiumiza kuhusu kupoteza muda kwani unajua kabisa kwenye "kutafuta" kuna changamoto na pale unapoangukia pua hapo ni pa kujifunza

Kwa muda wote ambao umeutumia na huyo ulieangukia pua umepotea,kumbuka huo ni muda wenu wote na sio wako peke yako tu

Lakini kama ungekuwa unajua hasa kile ambacho unakitafuta wala usingepoteza muda wote huo,hakuna mahusiano ya miaka mitano eti mnasubiri ndoa,muda muafaka wa kujipima ni mwaka,kama jamaa hakuulizi kuhusu ndoa jua hapo hutakiwi na anza kufanya taratibu za kuondoka maana hakuna mtu ambae anaweza kuichezea dhahabu

Kukaa na mwanamke bora na anaefaa kuwa mke ni sawa na kuichezea dhahabu,kama wewe ni wife material na huyo ulienae hataki kukuoa jua huyo hajitambui na hajui anataka nini,sepa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…