Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

mwanaume anapenda mwanamke mwenye kujielewa baass
ndo mana pretenders wakiolewa baadae wakija onyesha makucha uhalisia wao mtu anakwambia najuta kwa kweli kumuoa
ukijielewa we mdada baaas yatosha
kingine usililie UZURI LILIA BAHATI

Mkuu halafu mapretender huwa hawadumu ndoani, wanaishia kuachwa solemba miaka michache baada ya ndoa.
 
Heaven on Earth wife material wanaweza kusema hivyo. Naweza kukaa nawewe na ukafanya yote yale ambayo kwako unayaona yanakufanya uwe mke ila bado vigezo vyangu vikawa havijatimia kwako.
Mke ni zaidi ya vile vitu unavyofanya kama kufua au kupika au kufanya usafi wa ndani ila bado ukawa huna vile vigezo vyangu. Mke mwenye ucha Mungu, heshima, mwenye mawazo ya mustakabali wetu, nikuone kama mama wa mtoto ambaye atawalea watoto wangu na sio uzuri wa nje au wa mwili wako. Mwenye utii na heshima kwangu na kwa ndugu zangu na hata marafiki zangu. Anayejali uwepo wao na kuuheshimu na sio siku nimekuja na marafiki zangu ukaanza kukunja sura. Kuweza kuhimili hali zote za maisha nikiwa nazo na nikiwa sina sio nimeishiwa siku moja unanikunjia ndita. Mwenye uelewa wa nini maana ya maisha na sio kila siku club na wewe na wewe na club au kila boutique mpya inayofunguliwa mjini wewe unaijua au club mpya au kiwanja kipya na wewe umo
Mke ni zaidi ya sura nzuri na zaidi ya urembo au utendaji wa kazi
(mawazo yangu usinipige mawe Heaven on Earth)

Proffesor anasema..... well said....
 
Unanikosha mydia





Kooooooooooooh! Koooooooh! Jamani goodmorning iko wapi!

Jamani hali kweli ingekua hivo BIASHARA YA NGONO FORMAL AS WANAOKAA BARABARANI NA INFORMAL HUKU OFISINI TUNAVOCHUNANA, NA KUDAI MONEY FOR SEX ISINGE EXIST!

Tofauti na maneno yenu hii biashara inashamiri hatariiiiii! Watu wanakaa mjini for just being beautiful!

Anyway swali limekuwa directed kwa wanaume! Let me pass! BTW HIVI WANAUME WOTEEE HAMJAWAHI KUTAKA KUMUOA DEMU AKAWAGOMEA SABABU YA ULOFA, UBAYA, ETC ALIKUWA ANAWACHUNA TOO? IN POLITE WAY AKWAAMBIA YOU ARE NOT GOOD ENOUGH FOR ME, AU AKAOLEWA NA MSHAKJI MWINGINE UKABAKI UMENINGINIZA PU.MBU! Hahahaaaaaaaaa, JUST ASKING! Wale tuliosoma chuo I SEE YOU
 
Proffesor anasema...mwanaume.. kuoa n perspective..... haijalish upo naye miaka kibao na unamfanyia mazur ... very perspective. .
 
Hahahaaaa... Ndio hivyo rafiki yangu.... Nikisema zaidi hawa jamaa watanipiga mawe hapa muda si mrefu... Let me reserve my other comments aisee.

Hhaahahaaaa... kumbe na wewe umeshafulishwa na kuosheleshwa vyombo vya kutosha eeee!!! hahahahaaaa... you seem very smart though!!!!

Huyo rafiki yako .. ni kweli wengi wanajilazimisha kufanya wasivyopenda ili kuleta impression ila wanasahau wanaume TUNAONA HATA SIRINI ... we listen so much and every thing you guys say counts a lot since it carried the reality... So ukiona mwanaume anapenda sana kukusikiliza na kukuchokonoa stories mbali mbali jua anajua anachokifanya. (anaongea vichache anakuachia uwanja) na unajikamatisha mwenyewe... especially consistency iliopo kwenye stories zako, unayoyafanya, na uliowahi kusema, unayoyasema na unachotaka yeye aamini..... kumejificha uhalisia mwingi saanaa..... So jamaa anakusikiliza weee... anajua rohoni hiki kimeo tu.. so unapikilishwa, unafulishwa, unadekishwa ''in the name of love'' n.k n.k

Ila ukiona jamaa yeye kila saa anadominate mazungumzo kama mtu aliefungulia redio... Huyo wewe ndio utamjua zaidi kuliko yeye atavyokujua (hapa ni tofauti na wale watu ambao wanamasihara sihara.. maana kuna wengine wanakusoma in the name of masihara masohara)
Poleni sana aisee
Hahaaa we Tized unanichekeshaje eti trekta lol..

Nina rafiki yangu hapendi kupika achilia kuosha vyombo akiwa kwa bf wake anajituma huyoo balaa vyombo vimejaa karo ila ye anafanya vyoote hivyoooo

Nikisoma comments zenu yananikumbusha mengi yakiwemo mie mwenyewe niliyokuwa nafanya aiseee
 
Ukweli ni mchungu lakini lazima usemwe hata kama hamkubaliani nao.

******* Kama unamfanyia yoote hayo kwenye RED kwa nini akuoe, Ni kipi kinachompa hata shauku au muamko wa kukuoa? kwa lugha laini huko ni kujirahisisha.... japo najua wengi hapa watatoa povu. Nadiriki kusema wengi walioolewa baada ya mahusiano ya muda mrefu ya kuhudumiana kwa kila kitu... Mimba ndio ilikua factor kubwa japo wapo WACHACHE waliokaa vizuri na wakaolewa vizuri.... Ni vigumu sana kumfurahisha mwanaume kwa kumkubalia kila atakalo... ukiwa mtu wa ndio ndio unajitafutia matatizo

Hivi mtu kuja kunifulia, kunipikia una anzia wapi? Kwani nimekuoa? Sina mikono kwani kabla sijawa na wewe nilikua nafanyaje? nyie acheni kujipendekeza... Hebu fikiria mtu anataka akufanye kinyume na maumbile unamkubalia... hapo kuna ,mke au mume hapo? vitu vingine muwe mnafikiria bwana... Mwanaume anayetaka kukuharibu hakufai kwa namna yeyote.**********

Sihitaji unipikie na kunifulia nijue wajua kufanya kazi... inawezekana hizo ndio kazi unazozichukia kuliko zoote unafanya tu kuandaa mazingira... Kuwa wewe, Usimkubalie mwanaume vitu kirahisi rahisi hivyo... wengine wameharibiwa kwa uoga tu... nisipomkubalia nitaachwa au ataenda kwingine... mnaumizwa sana.. Kwani akikuacha hakuna wengine? nani kakuambia huyo ndio anayekufaa zaidi ya wengine? Ope your eyes friends...... Kama ni Hapana hapana, hawezi aende zake... japo hataenda.. huwa tunawatishia tu ili tupate tunachotaka. (na mwanaume mzuri na Mwema akikuona una misimamo yako mizuri unayoisimamia kwa dhati ndio anajua kuna mtu hapo..... ukiwa mrahisi mrahisi umeumia... jua wewe ni daraja tu la kuvukia kwa wengine au anapoozea apo machungu ya yule anayempenda halafu ana msimamo.)

Well said mkuu!
 
Nashukuru sana Kaka BAK kuniita, Nimeusoma mara mbili mbili, Mr Rocky amefunguka kwa hekima na maarifa sana.

Uwe na wakati mwema sana Brother.
Mkuu Mr Rocky ahsante sana kwa mchango mzuri uliojaa hekima na busara tele. Mchango huu naomba pia usomwe na ndugu yetu Mkuu Tized.
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo illuh, ina maana muda wetu pia haupotei? hata sisi tuna laana zetu vile vile kwenu kwa kutuchezea na kutupotezea muda.... Alaaaaaaa!!!!!! Am kidding any way!!

Red... ukifanikiwa kumuonesha anayekupenda hivyo... utakua umefanya asignment yako bara bara!!!!!!!. Of course you are likely to win
Ndio maana wanaangukiaga pasipo then wanakuja lalamika...pia laana za hao waliowaacha/kuwapotezea muda zinawatesa..

Hiyo ipo sana Heaven on Earth wanaume hawa ndio maana wanatendwa siku hizi..Mwanamke akiwa na mwanamke anakuwa kaingia ila mguu nje mguu ndani..wkt wowote anatimua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kumbuka unapompotezea muda mwanamke huwa unathamani sana ...Mwanamke anakikomo cha umri wa kuzaa, ila mwanaume hana kikomo cha umri wa kuzaa..yeye wakati woote mayai yake yapo haii.
Ni bora kama humpendi mwanamke mpe za uso sasa yeye kama akikung'angania itakuwa shauri yake.




Acha hizo illuh, ina maana muda wetu pia haupotei? hata sisi tuna laana zetu vile vile kwenu kwa kutuchezea na kutupotezea muda.... Alaaaaaaa!!!!!! Am kidding any way!!

Red... ukifanikiwa kumuonesha anayekupenda hivyo... utakua umefanya asignment yako bara bara!!!!!!!. Of course you are likely to win
 
1.Usinipe tigo,
2.Nikubali 1st day
3.Usiniombe hela ya sim
mapema
4.Niulize kuhusu familia yangu na malengo
5.Mengineyo mautundu
 
ASANTE...... NAKUBALIANA NA WEWE MIA KWA MIA.

Pia inasaidia kukuondolea ile kali ya kujisikia kama una hatia vile.
Kumbuka unapompotezea muda mwanamke huwa unathamani sana ...Mwanamke anakikomo cha umri wa kuzaa, ila mwanaume hana kikomo cha umri wa kuzaa..yeye wakati woote mayai yake yapo haii.
Ni bora kama humpendi mwanamke mpe za uso sasa yeye kama akikung'angania itakuwa shauri yake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Wadada waachane na biashara ya kwenda kujitoa kibiongo kufua mirundo ya nguo na kukwangua masufuria huku hujaolewa, kisa? Kila akienda anabeba vigauni, khanga kwenye rambo alimradi kujihamishia kiaina...ya nini hayo? Ndio mwisho wa siku tunakuja ona kama tumetendwa kwa sababu tunajihakikishia kisa tulikwangua masufuria.

Ngoja tuendelee kuwasikiliza tuone vigezo vyao, manake kuna wanawake wana ulimi laini...hewala bwana kibao lakini hawajaolewa au wameachwa.
 
Ndio maana wanaangukiaga pasipo then wanakuja lalamika...pia laana za hao waliowaacha/kuwapotezea muda zinawatesa..

Hiyo ipo sana Heaven on Earth wanaume hawa ndio maana wanatendwa siku hizi..Mwanamke akiwa na mwanamke anakuwa kaingia ila mguu nje mguu ndani..wkt wowote anatimua

Mara nyingi kama sio zote tatizo huanza pale ambapo unadhani unaonewa

Hata vurugu nyingi huanzia hapo,yaani lile kundi ambalo linadai au kudhani linaonewa ndilo huanza harakati za kujikomboa

Kwenye kadhia hii wanawake mnadhani nyie tu ndio mnaopotezewa muda,kuchezewa na memngine kama hayo,hii sio kweli kabisa kwani haya yapo pia upande mwingine,ukijua unachokitaka wala hutajiumiza kuhusu kupoteza muda kwani unajua kabisa kwenye "kutafuta" kuna changamoto na pale unapoangukia pua hapo ni pa kujifunza

Kwa muda wote ambao umeutumia na huyo ulieangukia pua umepotea,kumbuka huo ni muda wenu wote na sio wako peke yako tu

Lakini kama ungekuwa unajua hasa kile ambacho unakitafuta wala usingepoteza muda wote huo,hakuna mahusiano ya miaka mitano eti mnasubiri ndoa,muda muafaka wa kujipima ni mwaka,kama jamaa hakuulizi kuhusu ndoa jua hapo hutakiwi na anza kufanya taratibu za kuondoka maana hakuna mtu ambae anaweza kuichezea dhahabu

Kukaa na mwanamke bora na anaefaa kuwa mke ni sawa na kuichezea dhahabu,kama wewe ni wife material na huyo ulienae hataki kukuoa jua huyo hajitambui na hajui anataka nini,sepa!
 
Back
Top Bottom