Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...


Wife material hana terms and condition ila anajua kipi ni sahihi cha kufanya wakati gani

That's it ...!!
 
Hahaaaa utuwache wabeijing........ maana kuna muda na nyie wanaume mmezidi wallah

Wewe.. hebu jaribu kuwatafiti wale wabeijing waandamizi uone wapoje kitabia...
1. Ukigusia suala la kwa nini hajaolewa kwenye 32 years and above... ATAKUPA MAELEZO YA NDOA ZILIZOFELI TUUUU.. Utawasikia ONA FULANI, SITAKI SHIDA ZILE.. AS IF HAKUNA NDOA ILIYOFANIKIWA.... SIWAELEWAGI KWA NINI WANADHANI ZAO ZINGEKUWA KWENYE KUNDI LA KUSHINDWA... yaani huwa wanabehave as if MUNGU aliwaonyesha failure ya ndoa zao in advance..
2. Ujana wao walikuwa wanaojiamini sanaaa kuwa wao wanayaweza yote.. Lakini believe me.. as time goes ON huwa inawaumiza sana hali hiyo... THOUGH kuadmit kwao NI DHAMBI ISIYOSEMEKA. Wengine angalia hata thread zao wanazozianzisha...

3. Mara nyingi huwa wanakuwa ndo waharibifu wa tabia za walioko kwenye ndoa... YAANI WE MWANANMKE ULIYEOLEWA, AKYANANI KAMA KILA WAKATI UNAONGOZANA NA WALIOKOSA NDOA KWA SABABU YOYOTE ILE... ONE DAY YAKO NAYO ITAVUNJIKA... wanajuwa kuwafidi watu ''SUMU'' kwa moments za raha za usingo....

4. WENGI WAO HUWA WANAZAA TUU.. NA INAWEZEKANA IKAWA KILA MTOTO NA BABA YAKE...

5. KWAO WANAONA ILE HALI YA KWENDA POPOTE BILA KUULIZWA AU KUTAKIWA KUTOA MAELEZO KWA YEYOTE ndiyo raha ya usingo...

TUSIDANGANYANE... UNAWEZA UKAONA KWAMBA BEFORE 30 YEARS NI RAHA KUWA SINGO... LAKINI COME 32 AND ABOVE YEARS OF AGE... AKYANANI NDO HAO MNAOWALALAMIKIA WANAWASERENGETISHA WATOTO WENU... NDO HAO MNAOWAFANYA WATOTO WA KIUME WAITWE MALIOO...

 

Kwangu kama ulisha wahi kutoa tigo pita tu hats kunitazama mwanamke wa hivyo simtaki kabisa loo!!!
 

Halafu wewe utakua mtukutu.
 

Na ndiyo maana hili neno... UMENIPOTEZEA MUDA... mara nyingi utalisikia kwa wanawake tu.. SIJUI WANADHANI WANAUME WANAPOKUWA NAO MUDA WA MWANAUME UNAKUWA UMEWEKWA 'PAUSE' na kwamba unaosogea ni wa mwanamke pekee... KIUKWELI WOTE MMEPOTEZA MUDA...

BY THE WAY,
1 HEBU TUJIULIZE....HATA KAMA MWANAUME AKIMUACHA MWANAMKE WALIYEPOTEZA NAYE MUDA PAMOJA... KWANI ANAKWENDA KUMUOWA MWANAUME MWENZIE..??? SI NI MWANAMKE MWENZAO NDO AMEOLEWA...

2. WOTE MLIOOLEWA, HUYO ALIYEKUOWA, WEWE NI MWANAMKE WAKE WA KWANZA..?? IF NO, THEN UJUWE UMEVUNJA MAHUSIANO YA MWANAMKE MWENZIO.. HENCE NA HAO WANAWAKE WANAVUNJIANA MAHUSIANO KWA KUMCHUKULIANA WANAUME. HALAFU MWISHO WA SIKU LAWAMA WANAWAPA WANAUME PEKEE... UTADHANI YEYE HAYUPO KWENYE HAYO MAHUSIANO
 

Superb .......!!
 
Mi sio mwanaume ila nasema tu my point of view na kaexperience kangu
1.BE YOU
usifake jinsi ulivyo,kuna yale mambo ambayo maybe unaona kabisa kama binadamu ni mabaya wewe kuyafanya na unafanya basi jaribu kuacha e.g unatukana,unasengenya sana,unadharau,huendi kusali etc just try to do good at your own space sio kwasababu ya mtu bali wewe kama mwanamke au mwanajamii havitakusaidia
hapo ndo nakubaliana na Eiyer aliposema kama una sifa za kuwa mke utakua tu,no need to stress yourself
usijishushe thamani yako for the sake of love(most times hata sio wa dhati)
back then nilidhani hiyo list uliyoandika ndo jinsi ya kupata mwenzi wa kweli,nilifanya vingi(hujaeka swala la kuinvest hapo) sitaki kusema i was PERFECT ila nlifanya na mwisho wa siku nilipoteza my identity and sanity kwasababu kufanya jambo au mambo usiyoyapenda na kuvumilia usiyoyapenda kwa muda mrefu inakufanya upoteze uhalisia wa maisha yako na kujikuta unaishi maisha ya mwingine na mbaya zaidi mtu mwenyewe asiwe na mpango wa kukuoa.

i was lucky enough to get out in time na kuanza kusali kurudia hali yangu na kupata mtu ambae anakuthamini ndani na nje.haikuchukua muda and i did when i was not even searching na mengine ni historia
vigezo vyako utapata mtu mtakaeendana kwamfano:kama hupendi mtu ambae anakufanya dekio basi Mungu nae atakupa atakae kuthamini na sio wewe unathamini mwenzio anakuona wa nini.
hamuezi kufanana ila mtaendana ninachoamini Mungu hawezi kupa jaribu usiloliweza,kama kuna mapungufu then kuna yale ambayo utaeza kuyahandle.
hakuna general rules za mwenza(ndio ninachoamini) ila kila binadamu ana jinsi anavyoona mambo kwa njia tofauti ndio maana hata mapacha hawawezi kufanana kwa kila jambo
YOLO
 

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani?

Swali lako halina jibu la aina moja...

Kifupi kila mwanaume kaumbiwa wake mwanamke vivyo hivyo na mwanamke...

Na kwa msisitizo ni kwamba ndoa huwa hailazimishwi, hailazimishiki wala hailazimishi...
 

Ndoa haina fomula, kama ilivyo kuachwa hakuna fomula... Usidhani ....hewala bwana kiba... ndo zinatengeneza ndoa au zinakupa kuolewa... WENGI WENU MNADHANI NDOA ZINA ROLO MODO... (kiingereza sasa) ... Rolo modo wa ndoa yako ni wewe mwenyewe... Mambo ya kutoa Tigo kisa umesikia ndoa ya fulani inadumishwa na Tigo .. utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua... Kila ndoa inafomula yake... NA NDIYO MAANA LEO HII KUNA WALIOISHI MIAKA 40 WANAACHANA NA WENGINE MIEZI TU WANAACHANA...

KUIGA KWA KUTOJUWA MWENZI WAKO ANATAKA NINI NA KIPI HATAKI NDO HUKO KUNAKOSABABISHA MAJANGA NDANI YA NDO

Tatizo lingine ni hili
1. Mwanamke mama yake mzazi alikuwa ndo mtemi nyumbani kwao, akisema kitu baba anasikiliza, sasa anataka na yeye awe mtemi nyumbani kwake... sasa mwanamke wa hivi akikutana na mwanaume ambaye naye kwao baba alikuwa mtemi na mama HEWALA BWANA... moto utawaka hapo... kila mmoja anaona mwenzie anaishi visivyo na anayoyataka hayapo na hayawezekani..

2. Mwanamke mwingine anataka anayoyaona kwa shoga yake, ayalete nyumbani kwake, bila kujua ya kwa shoga yake yanawezekana kwa sababu ipi.. HAJUI KINACHOENDELEA SHOGAYE AKIWA NDANI YA SHUKA NA MUMEWE
 
Wanawake wote wanaojitaabisha kwa haya na waliwe tu tena ikiwezekana hadi supu watengenezwe na wanywewe pia...

 

Asanteee...ukweli unauma ila ndo fact.....anaolewa mwingine asiyejishughulisha....chukua like 100
 
You ve made ma day Bro.... Hahahaaa... I cant imagine siku namnywa SUPU Heaven on Earth... waaooo.. ntakaa na taulo kabisa majasho yasinizingue!!! hahahahaaaa wahali !!!!!
Wanawake wote wanaojitaabisha kwa haya na waliwe tu tena ikiwezekana hadi supu watengenezwe na wanywewe pia...
 
Last edited by a moderator:
Asante sana... Karibu pia brenda18.... ndio wakati wenu huu muutumie kwa uangalifu vinginevyo mtadekishwa saaaana
Asanteee...ukweli unauma ila ndo fact.....anaolewa mwingine asiyejishughulisha....chukua like 100
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…