Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Wadada waachane na biashara ya kwenda kujitoa kibiongo kufua mirundo ya nguo na kukwangua masufuria huku hujaolewa, kisa? Kila akienda anabeba vigauni, khanga kwenye rambo alimradi kujihamishia kiaina...ya nini hayo? Ndio mwisho wa siku tunakuja ona kama tumetendwa kwa sababu tunajihakikishia kisa tulikwangua masufuria.
Ngoja tuendelee kuwasikiliza tuone vigezo vyao, manake kuna wanawake wana ulimi laini...hewala bwana kibao lakini hawajaolewa au wameachwa.
Wife material hana terms and condition ila anajua kipi ni sahihi cha kufanya wakati gani
That's it ...!!