Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Kanuni ya msingi ya kukufanya uolewe ukifanya hayo uliyoyasema unakuwa umeikiuka! Hivi km mtu unampa maziwa na nyama kila siku,atatoa wapi akili ya kufuga ng'ombe!? Km nguo unamfulia,chakula unapika,vyombo unaosha na papuchi unampa akuoe ili iweje!?
 
Mkuu...

Baadhi ya hawa ndugu zetu ni ngumu sana kutambua namna wanavyojenga fikra na kuishi ndani ya fikra hizo...

Siku zote upendo huwa haulazimishwi na wala hauna manifesto kwamba ukifanya moja, mbili, tatu n.k basi utakuwa unajitengenezea njia ya ndoa...

Hivi mwanamke anayetoa tigo, anayewekwa ndani na mwanaume na kumfanyia shughuli za nyumbani kama upishi, udobi n.k. Mwanamke huyu si hamnazo kabisa kichwani mkuu???

Hivi hapo unaanza vipi kumlaumu mwanaume kuwa kakutumia, kakupotezea muda na malalamiko mengi...

Hivi mbona wanawake wengine huwa hawafanyi hayo yote na bado huolewa tena kwa heshima na baraka zote...

Mwanamke kuuliza swali "Wanaume mnapenda wanawake wa aina gani" hii ni sawa kabisa na mkulu Pinda anayejiuliza "Eti hivi kwa nini Watanzania na Tanzania ni maskini?"....

Hawa wote majibu wanayo wenyewe....!!!

You ve made ma day Bro.... Hahahaaa... I cant imagine siku namnywa SUPU Heaven on Earth... waaooo.. ntakaa na taulo kabisa majasho yasinizingue!!! hahahahaaaa wahali !!!!!
 

Wow!!! Nakubaliana na wewe mkuu Tized
 
Kuna mtu hapa namsubiri aje ku-coment, maana nimeshachoka kufua na kupiga deki kwake.
Kila siku natibu fangasi za mikono.
Nimechokaaa kugeuzwa house girl we kaka
 
Heshima inayoletwa na stara sidhani kama kuna muoaji anaependa maungo ya mkewe yanadiwe hadharani
Busara na kujiamini ni kigezo cha pili sio kila mda mwanamke anahitaji au anadeka some time mwanamke anapaswa kushika busara na kusolve matatizo ya familia
Mskivu mwenye kureason bila kupayuka anayeweza kunifanya nijione nimelosea pale nnappkosea bila kungombeza
Mvumilivu na mwenye msmamo ucio yumba awe na upendo wa kweli
 

Nakubaliana nawe kwa mchango wako....

Yangu sasa, binadamu hatuna ukamilifu, kila mmoja ana mapungufu yake. Mke/mume sidhani kama atatokea mzuri kwa kila kitu. Kuna huyo mbabe uliyemtaja, weza kuta nae ana mume. Unakuta huyo mume amempenda kwa mambo mengine, na hilo la ubabe akajisemea kuwa atalirekebisha mbele kwa mbele (kosa la kiufundi la wengi wetu). Huu ni mfano mmoja tu, maana yangu ni kuwa, tunaweza kuwa na matamanio ya kupata mwenza mcha Mungu, mkarimu, mtunzaji mzuri wa watoto n.k lakini anayepatikana akiwa na yote hayo labda anaweza akawa na katabia fulani ambako kanakera kupitiliza. Ukikaa mahali ukasikia watu na experience zao ndio unabaki kujisemea moyoni, hee..kumbe mwenza wangu ni malaika straight from heaven, yaani kale katabia ninakoona kero kumbe huku nje kuna mijitabia ambayo nina uhakika nisingeweza kuivumilia.

Kifupi, kila mtu angependa kupata mwenza anayejielewa..ajue nafasi yake kwenye familia ni ipi, na awe tayari kwenda hata zaidi (an extra mile) kuhakikisha kuwa familia yake inakuwa katika misingi imara. Hao unaowasema wanadesa kuwa kwa fulani kumefanywa nini nae aigilizie, vingine vinaweza kufanya kazi na vingine sivyo (haikatazwi kukopi lakini copy sensibly). Siongelei anayeona kwa shosti kuna range na yeye anataka range, kisa sijui kasikia blah..blah...hawa ni level nyingine ambayo inataka ukurasa tofauti wa mazungumzo.

Bottom line is, every marriage is unique.
 
kuna mtu hapa namsubiri aje ku-coment, maana nimeshachoka kufua na kupiga deki kwake.
Kila siku natibu fangasi za mikono.
Nimechokaaa kugeuzwa house girl we kaka

kwani nimekulazimisha.........
 


Nimependa hapo kwenye blue kwa sababu umekuwa muwazi kitu ambacho wavaa suruali wengi wa sasa wanashindwa kukikiri na kukubali. Nashukuru kwa kuirusha hewani.
 
Mwanamke mzuri mtu hupewa na Mungu. Nje ya hapo ni kubahatisha tu na ndo maana the marriage institution has been abused n corrupted by globalization.
 
Mkuu nakukubali saaaana.. ndio maana siku ile unasema hata awe ni profesa kwako bado ni mwanamke nilikuelewa saaana.....

Bahati mbaya ndugu yangu watu8 hawa dadazetu wamewekeza nguvu nyingi saaana kutaka kumfurahisha mwanaume KULIKO kwao wenyewe kuwa wanawake.... sijui ni nani aliewaloga aisee... Hivi kweli ujidhalilishe umpe mwanaume tigo eti ndio unamfurahisha? Kuna Husband material anayeweza kufikiria hio habari kwa mkewe mtarajiwa au hata mkewe aliemuoa? (they dont get it yet) Ni mwanaume yupi huyo ambaye atakuona umejirahisisha hivyo kwake akuweke ndani... Who needs that MAJANGA? (still they dont get it)

Mkuu umenifurahisha sana na huu uchambuzi wako yakinifu.... NINGEWEZA kuingia kwenye kichwa cha mmoja wao ningemsaidia kwa kufuta hilo file la kumfurahisha mwanaume niweke KUJIBORESHA NA KUWA MWANAMKE BORA ZAIDI... Wanaume wanaoa WANAWAKE na sio viburudisho... Akijiweka kiburudani burudani.. mwanaume nae anakaa naye kiburudani burudani.. akijiweka katika mode ya MKE na jamaa nao wanajiweka kwenye hio mode.... Funguo za kuolewa au kutokuolewa wanazo wenyewe.

DADA ZETU hamuwezi kumfurahisha mwanaume, Jifurahishe wewe kwa kujitunza na kuendelea kujiboresha mwenyewe ili uwe mwanamke bora zaidi... NA ISHI KAMA MKE WA MTU SASA katika kila unalolifanya na kulisema... usisubiri uolewe ndio uje uishi hivyo.... ISHI SASA UONE UTAVYOGOMBEWA NA WALIO SERIOUS KUOA.. dont pretend.. live it )

Many thanks mkuu@watu8, You are such a wise Man.
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth , mkuu Mr Rocky ,ameelezea vizuri sana, just to top it up, its the good personality that makes a man wanna marry a woman. Kusupport this Kuna ka msemo fulani hivi kanasema " Good looks catches the eye but a good personality captures the heart".
 
Last edited by a moderator:
So so mpressed,hili jamb wadau n gum kdgo ki mazngra mfano mtu anaeza kaaa na dem mda mref tena mweny vigez vzr na saf kabsa afu akachk na mwngne ambae ss ndo twamjua yte amemt nae labda kw ofce tuu anaoa ila bak graund yake n mbaya kuliko yule,au mtu anaenda kjjn anaoa kumbe yule dem alishakaa san mjn maisha yakabdlka akard kjjn so akiwa kule anakua tofaut ki utash na wengne so n rahs wat kufka bei czs yuko kjjn lkn afu anakua ka wa twn,pia kuna NDELE hii inahuska sana bt all n all kua na mwenendo mzr cz kizr na uzr na tabia lead to marriage for womens..
 
Now kama unampikia unamfuria unazini nae akuoe wa nini? ushampa kila kitu umempa nafasi ya kukufanyia tathimini.hatari sana kwenda kukaa kwa mwanaume kama hamjafunga ndoa hata kama kakununulia verosa kwa sababu wanaume wanatabia ya kudharau kitu ambacho walikuwa wanakifukuzia kwa muda mrefu kikiwa karibu yao.nachojua kinachomleta mwanaume kwa mwanamke ni mvuto na romantic love,lakin mara chache sana wanaume wanaoa kwa sababu hizi.HII ITAWASAIDIA WADADA:mara zote mwanaume akishalala na wewe anatoka kwenye feelings anakuja kwenye logic so hapa inabid uanze kuwa wise kuwin moyo wake sababu muda ndio vile vipoint like wife material vinaanza
 

Ungeandika kiswahili kinachoeleweka
 
Tatizo sio wanaume bali ni mila na desturi za kiafrika ambaozo kwa kiasi kikubwa hazifai; kwa mfano mnaweza pendana ,lakini bado kuna pande mbili za ndugu na maneno yao mala mke au mme ngani, mbona ivi mala vile, maneno chungu nzima. Matokeo yake watu huingia kwenye ndoa kwa kukurupuka.
 
Mke mwenzza kama ulikuwepo katika mawazo yangu vile yaani umemwaga uzi ile mbaya nimekupendajeee? Chukua tano za hewani bestito
 
Katika walio kuwa na problem nawe nimmoja wao

hakuna kigezo hapo ambacho kinaweza sababisha ya wanaume kuoa

kitu cha pekee ni je ni mcha mungu kwishinei mengine ni mapambo tu ya watu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…