Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.