Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

cna maana io mkuu,lakin HESHIMA na UTII ni vi2 muhimu,tatizo wanawake mmekuwa wa babee.

Kuna mahali nimesema ntamdharau au ntamkosea heshima mtu? Ninachomaanisha mimi ni kwamba sitajipendekeza,sitajitesa kwaajili ya mtu ntafanya kawaida tu kwa afya
 
Awe anakata viuno,
Amefudhu unyagoni,
Nikiwa kitandani,
Anipe burudani,
na
Anipende mi kama mi,
Sio kisa vile ni msanii,
Bali anishauri juu ya HIV,
Mwingine aendeleze..
 
Kuna mahali nimesema ntamdharau au ntamkosea heshima mtu? Ninachomaanisha mimi ni kwamba sitajipendekeza,sitajitesa kwaajili ya mtu ntafanya kawaida tu kwa afya

kwa harakaharaka yaonesha we ni mfano mzurii wa wale wababe,ambao ukimzingua tu mzungu nne mtindo mmoja
 
kwa harakaharaka yaonesha we ni mfano mzurii wa wale wababe,ambao ukimzingua tu mzungu nne mtindo mmoja

Ungejua kununa wala kususa mi sijuagi....ila tabia ya kujipendekeza sinaga
 
Unajua nimecheki mara mbili mbili kama kweli aliyeuliza hili swali ni Heaven on Earth au naona vibaya...lol
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama napata mahitaji yote namna hiyo bila masharti... ya nini nikuoe?
 
Mimi binafsi sitaoa mwanamke asiye na hofu ya Mungu(mcha Mungu) lakini pia siwezi oa mwanamke asiye jiheshimu
katika mwonekano wa nje hususani swala la mavazi na nimejiwekea msimamo mwanamke anae vaa suruali(hata kama
ikipewa jina eti ni ya kike) kama sitaoa oa huyo bi dada b yake ni vimini na nguo zinazodharilisha utu wa mwanamke
maana nikija kumuoa aibu yake aibu yangu mazuri yake mazuri yangu,huu ni mtizamo wangu.Nawasirisha|!
 

Hivi kuwa na hofu ya Mungu maana yake nini?
 
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.

KUNDI..... 1.....

Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.

KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.

Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?



Location :Hombolo village Dodoma.
 
Karibu Fantasy ila sina nauli ya kukutoa huko!

Ukija nitajua kweli mnapenda kimakundi otherwise kila mtu na aina yake ya kumkubali alienae na hapo ndo unakuta wanawake mnakuwa wadangaji yani unakuwa na unaempenda;anaekutindua vizuri na anae kuhonga na anaekutoa out kuja msalato nyama choma....

Yani K moja hao wote na haijai inatemea nje!
Sayansi ilioje! Loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…