Endo agar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 487
- 334
Kwa hiyo mkuu unataka nikampikie mwanaume? Nikamfulie? Nimpe tigo?
cna maana io mkuu,lakin HESHIMA na UTII ni vi2 muhimu,tatizo wanawake mmekuwa wa babee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu unataka nikampikie mwanaume? Nikamfulie? Nimpe tigo?
cna maana io mkuu,lakin HESHIMA na UTII ni vi2 muhimu,tatizo wanawake mmekuwa wa babee.
Awe anakata viuno,Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Kuna mahali nimesema ntamdharau au ntamkosea heshima mtu? Ninachomaanisha mimi ni kwamba sitajipendekeza,sitajitesa kwaajili ya mtu ntafanya kawaida tu kwa afya
kwa harakaharaka yaonesha we ni mfano mzurii wa wale wababe,ambao ukimzingua tu mzungu nne mtindo mmoja
Ungejua kununa wala kususa mi sijuagi....ila tabia ya kujipendekeza sinaga
kwa harakaharaka yaonesha we ni mfano mzurii wa wale wababe,ambao ukimzingua tu mzungu nne mtindo mmoja
Mimi binafsi sitaoa mwanamke asiye na hofu ya Mungu(mcha Mungu) lakini pia siwezi oa mwanamke asiye jiheshimu
katika mwonekano wa nje hususani swala la mavazi na nimejiwekea msimamo mwanamke anae vaa suruali(hata kama
ikipewa jina eti ni ya kike) kama sitaoa oa huyo bi dada b yake ni vimini na nguo zinazodharilisha utu wa mwanamke
maana nikija kumuoa aibu yake aibu yangu mazuri yake mazuri yangu,huu ni mtizamo wangu.Nawasirisha|!
Wa kwake Atakua kundi lililosifiwa zaid kat ya hayo makundi mawili kwny madaWe mwanaume ulie nae yupo kundi gani?
Hapo inaitwa sura pesaWe mwanaume ulie nae yupo kundi gani?