Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Kwa hiyo moja ya dalili za kiama ni mwanaume kubaki na mwanamke mmoja?imeandikwa wapi hii?
Jukumu kubwa la mwanadamu hapa duniani ni kuzaliana na kuijaza nchi.

(Hivi kila mwanaume akiwa na mke mmoja + maisha ya uzazi wa mpango +COVID Series nchi itakaa ijae kweli)?
Si kiama kitafika hatujakamilisha jukumu la kuijaza nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unamtaka mwanamke kwa malengo gani.
Kuoa, tunapendelea mwaminifu, mwenye heshima. Mwanaume anaumia sana akigongewa kuliko kitu chochote. Kwahiyo anatafuta mwanamke atakayeweza kuwa nae "peke yake"

Kwa matumizi ya kawaida, tunapenda warembo. Wenye chura. Hapa hatuogopi kushare. Ndo maana kuna wanawake wanaojiuza na wanapata wateja kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Umenena vyema
 
Jukumu kubwa la mwanadamu hapa duniani ni kuzaliana na kuijaza nchi.

(Hivi kila mwanaume akiwa na mke mmoja + maisha ya uzazi wa mpango +COVID Series nchi itakaa ijae kweli)?
Si kiama kitafika hatujakamilisha jukumu la kuijaza nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
So sababu inayofanya msiwe na mmoja ni kuzuia kiama?
 
Back
Top Bottom