Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi awe mweupe na anayenipenda mengine ntamvumilia, hata awe kiziwi bubu kiwete sjui nini isss okeee (kwa sauti ya pierre)Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Kuwa msafiSis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Asante sanaKuwa msafi
Usimpazie sauti mwanaume
Usiwe mjuaji Sana
Usiombe pesa
Ukifanya hvyo vyote na mwanaume asitulie basi atakua amelogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utii na heshima,
Uthamini + kuridhika
Unajua kuna mambo 2,muonekano wa njee na tabia za ndani za mwanamke,unaweza ukamwona mwanamke kwa umbo ndio yule unaemwitaji ukawa nae, sasa ukakuta ana vitabia ambavyo anavyo wewe huvipendi ila kwa kuwa umependa bodi unakaa nae ukiamini atabadilika cku zinaenda mwish wa cku umechoka unamwacha anakuja huku jf kutuletea ushuhuda ulivyomfanyiaHi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
hapo nitatulia na kuweka ndani.Wakiwa hivyo na nyie mnatulia na kubaki na mmoja tu?