Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Nafkir ni Kundi la Tatu
Tunasubiria wale Wazee wanaochukua Kiinua Mgongo ili tujiachie nao pamoja...
Ni kumpa Mapenz Moto moto akinogewa nakuwa Mke Mdogo for A While
Then Na Accomplish Malengo yangu Siku zinaenda..
 
Yote tulioandika humu mbwembwe nyingi kikubwa maridhiano pesa sawa imekosekana powa siyo kila siku mtabaki kuwa na pesa iko mtaishiwa,huyo handsome iko siku atamwagikiwa na maji ya rejeta usoni mara pa nusu mdhungu kuna maisha hapo? Acheni kuchagua sana kumbukeni muda nao si rafiki mwisho wa siku mwaja kulalamika humu et nian35+ na sina dalili ya kuolewa,wakati ww mwenyewe ulikuwa mbaguzi kuzidi kaburu!
Wewe sasa ndio umetolea ufafanuzi wa hoja za Speaker wa mada.😂😂😂 kikubwa upendo tu
 
Ndio haya nimepata pesa nikaja kwako tukala maisha mara pa mshiko unakata kuna mahaba hapo? Ngoja niendelee kujilia readymade tena siku hz mpaka mkopo wanatoa[emoji38][emoji38]
😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa andazi kweli
 
Hapa umegusa penyew nimechoka nao mm

Ambao siwapend kaz kunijitegesha kwangu
Wakati mnaongea haya mkumbuke kuna kijana mahali flani yuko juu ya deka sahizi anapiga bao la mkono...angepewa hata huyo unaemuona jau angesuuzika sana nafsi... Tujifunze kuwa na shukurani wanangu!!!😂😂😂
 
Wanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
Ina ka ukweli flani ilinitokea
 
Hilo hilo ulilotaja hujaenda mbali na jibu langu...
.
.
Kuna bidada mmoja amenizid umri kidogo nlianzana nae mwaka 2008 alikua chuo nikiwa f6 leaver hatujawah kuwa na uhusiano rasm zaid ya kukulana tu...
Kwa mwaka tunapiga show hata mara mbili tu akipata tu kalikizo huko aliko utaskia tu nakuja huko ulipo nitengee wk yng moja nzima unipukuchueeeee (anapenda sana kutumia hili neno) mpka nikitoka huko nikalazwe hosp ya jiran... alitoka huku kwny pasaka tangu arud kwake hatujawah hata kusalimiana zaid ya nmefika salama baaaassss...
.
Sasa huyu anafall kundi gan hapo?
Simpi hela zaid ya tunazotumia tukiwa wote, no show up no kubebishana lkn kisimi kikimsimama atapanda basi anifuate nilipo na kwa sasa ni safar ya siku mbili lkn haijawa kikwazo kwake
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba umpukuchue ..ametisha sanaa bidada
 
badooo sana hujawajua wanaume! kwa kutengeneza makundi haya tegemea kutengeneza makundi mengine zaidi ya mawili.
kwa kadri ya makundi yako hilo kundi la pili ni wanaume ambao wapo disparate na wanachotafuta ni raha kuhailisha changamoto zilizopo ndani mwao na wengi hawaoni hasara kukulipa kwa kuwa ulichotoa kwa muda huo hujui thamani yake kama wahajarogwa hawaoni hasara kukulipa kiasi hicho.
rafiki yangu mmoja alikuwa mwanza mjomba wake alipofika akitokea dar alimwambia nenda mabatini kanitafutie mwanamke alivofika kwa huyo mwanamke mwanamke akasema ataondokaje hana hela ya kuacha nyumbani, mjomba akasema mpe 50,000/- akawa hana ikabidi tax driver aitoe kisha wakaondoka naye.
wakaendelea na starehe asubuhi mwanamke akalipwa ujira wake wa 250,000/- akasepa.
dogo akapiga kelele mjomba unaonga sana akamwesabia akaona ametoa hela nyingi sana mjomba akacheka sana. akamuuliza wewe huna unaonga shilingi ngapi akasema haizidi 10,000/- akamuuliza ukitoa 10,000/- huwa unabaki na ngapi akasema naweza kuwa na 20,000/- nikampa 10,000 na chumba nimelipia 7000/- mjomba akamwambia mpwa wake mjomba unahonga unahonga sana.
sasa mimi nina zaidi ya milioni 70 kutoa laki tatu shida iko wapi na wewe unayeonga zaidi ya nusu ya fedha zako?
kwa kifupi wanaume hawaoni hasara kukuhonga ila kiukweli unayepata hasara ni wewe unayepotezewa muda kwa kuwa siku zijazo fedha hizo hazitakuwa na maana kwako utahitaji mume mwenye vision ambaye hukumtengeneza toka mwanzo kwa kuwa uliamini hana hela.
 
asiee tupo pamoja
Mimi nipo kundi moja, ndio tunazingua kwa sababu, unakuta mwanamke anakupenda hana mvuto. Na tunaongoza kupendwa na wanawake wasio na mvuto! Mpka kinyaa, Tunajuta kuzaliwa na sura za mama zetu
 
3
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.

KUNDI..... 1.....

Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.

KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.

Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?

Location :Hombolo village Dodoma.
 
Leo umenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom