samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Yote tisa kumi pesapesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie hela.Nilijua lazma ushabikie humu
Amen Amen Amen babake!ameen; atulinde sote
Asante mateHongera sana mate!
Ndio nimetoka kwa wakala hapa hana float ya kutoshaNitumie hela.
Huwezi pata vyote kwa mtu mmoja japo inatokeaga...an ugly man to you is another womans weaknessUwe na mauno + caring + pesa = full package
[emoji134][emoji134][emoji134]Ndio nimetoka kwa wakala hapa hana float ya kutosha
Wewe sasa ndio umetolea ufafanuzi wa hoja za Speaker wa mada.😂😂😂 kikubwa upendo tuYote tulioandika humu mbwembwe nyingi kikubwa maridhiano pesa sawa imekosekana powa siyo kila siku mtabaki kuwa na pesa iko mtaishiwa,huyo handsome iko siku atamwagikiwa na maji ya rejeta usoni mara pa nusu mdhungu kuna maisha hapo? Acheni kuchagua sana kumbukeni muda nao si rafiki mwisho wa siku mwaja kulalamika humu et nian35+ na sina dalili ya kuolewa,wakati ww mwenyewe ulikuwa mbaguzi kuzidi kaburu!
😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa andazi kweliNdio haya nimepata pesa nikaja kwako tukala maisha mara pa mshiko unakata kuna mahaba hapo? Ngoja niendelee kujilia readymade tena siku hz mpaka mkopo wanatoa[emoji38][emoji38]
Wakati mnaongea haya mkumbuke kuna kijana mahali flani yuko juu ya deka sahizi anapiga bao la mkono...angepewa hata huyo unaemuona jau angesuuzika sana nafsi... Tujifunze kuwa na shukurani wanangu!!!😂😂😂Hapa umegusa penyew nimechoka nao mm
Ambao siwapend kaz kunijitegesha kwangu
Ina ka ukweli flani ilinitokeaWanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba umpukuchue ..ametisha sanaa bidadaHilo hilo ulilotaja hujaenda mbali na jibu langu...
.
.
Kuna bidada mmoja amenizid umri kidogo nlianzana nae mwaka 2008 alikua chuo nikiwa f6 leaver hatujawah kuwa na uhusiano rasm zaid ya kukulana tu...
Kwa mwaka tunapiga show hata mara mbili tu akipata tu kalikizo huko aliko utaskia tu nakuja huko ulipo nitengee wk yng moja nzima unipukuchueeeee (anapenda sana kutumia hili neno) mpka nikitoka huko nikalazwe hosp ya jiran... alitoka huku kwny pasaka tangu arud kwake hatujawah hata kusalimiana zaid ya nmefika salama baaaassss...
.
Sasa huyu anafall kundi gan hapo?
Simpi hela zaid ya tunazotumia tukiwa wote, no show up no kubebishana lkn kisimi kikimsimama atapanda basi anifuate nilipo na kwa sasa ni safar ya siku mbili lkn haijawa kikwazo kwake
Mimi nipo kundi moja, ndio tunazingua kwa sababu, unakuta mwanamke anakupenda hana mvuto. Na tunaongoza kupendwa na wanawake wasio na mvuto! Mpka kinyaa, Tunajuta kuzaliwa na sura za mama zetu
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Leo umenifurahisha sanaLeo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.

Wewe tafuta tu hela kwa bidii ndugu yangu , hao wanawake watakutafuta wenyeweSisi ambao hatujabahatika pendwa mpaka sasa na pesa hatuna: