Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Hilo hilo ulilotaja hujaenda mbali na jibu langu...
.
.
Kuna bidada mmoja amenizid umri kidogo nlianzana nae mwaka 2008 alikua chuo nikiwa f6 leaver hatujawah kuwa na uhusiano rasm zaid ya kukulana tu...
Kwa mwaka tunapiga show hata mara mbili tu akipata tu kalikizo huko aliko utaskia tu nakuja huko ulipo nitengee wk yng moja nzima unipukuchueeeee (anapenda sana kutumia hili neno) mpka nikitoka huko nikalazwe hosp ya jiran... alitoka huku kwny pasaka tangu arud kwake hatujawah hata kusalimiana zaid ya nmefika salama baaaassss...
.
Sasa huyu anafall kundi gan hapo?
Simpi hela zaid ya tunazotumia tukiwa wote, no show up no kubebishana lkn kisimi kikimsimama atapanda basi anifuate nilipo na kwa sasa ni safar ya siku mbili lkn haijawa kikwazo kwake
Huyo tunamuita Dormant Volcanic Papuchi...yani anakuja na kupotea kwa msimu ama quasi patner hashughuliki na uendeshaji wa mahusiano ila anakuja mda wa mavuno tu kupukuchuana 😂😂😂
 
Ile elfu 10 yako ya nauli
Uliyempatia yule mtoto mwanafunzi
Inshaallah itajibu.
Maana uliitoa kwa mmoyo mmoja
Daaah....
Umenikumbusha mbali sana! Ndo maana unaambiwa ukitaka kujua wewe uko na khali gani angalia wa nyuma yako!

Yule mwanafunzi sijui kama alikuwa kapata hata kikombe cha chai ya rangi!
 
Daaah....
Umenikumbusha mbali sana! Ndo maana unaambiwa ukitaka kujua wewe uko na khali gani angalia wa nyuma yako!

Yule mwanafunzi sijui kama alikuwa kapata hata kikombe cha chai ya rangi!
Yatupasa shukuru kwa hata kidogo.
Mungu alicho tujalia.
Maana ukipewa ufunuo uone walio chini yako utalia. Tokea siku ile na Mimi ni kakuweka kwenye fungu la pekee
 
Wanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
Aya jipigie debe vizuri ueleweke
 
Yatupasa shukuru kwa hata kidogo.
Mungu alicho tujalia.
Maana ukipewa ufunuo uone walio chini yako utalia. Tokea siku ile na Mimi ni kakuweka kwenye fungu la pekee
Ni kweli kabisa yatupasa kushukuru mno jamani!
Niliwaza sana mimi, ila Mungu ni mwaminifu naamini anazidi kumuinulia watu!

Nashukuru mno babake kwa kunipatia nafasi kwenye moyo wako! Mungu azidi kukulinda tu jamani!
 
ameen; atulinde sote
 
Back
Top Bottom