Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hahah si nilisikia umetengua kauli wewe!!Hahahhahaha sitozi nini?
Transport fee umetutolea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah si nilisikia umetengua kauli wewe!!Hahahhahaha sitozi nini?
Demiss...Nipo hapa mzee baba wewe tu ukiwa free nije nikupe mautamu
More blessingz upon you mama akeHahaha hahaha
Asa nimsifie nani eti babake
Same to you babake!More blessingz upon you mama ake
Mwaka huu usiishe bila kuendesha
hata ki ist
Ameen
Nilijua lazma ushabikie humuKundi la pili popote mlipo mbarikiwe sana. Amen[emoji120]
Ile elfu 10 yako ya nauliSame to you babake!
Naamini mwaka hautaisha huu jamani!
Blessed babake!
Huyo tunamuita Dormant Volcanic Papuchi...yani anakuja na kupotea kwa msimu ama quasi patner hashughuliki na uendeshaji wa mahusiano ila anakuja mda wa mavuno tu kupukuchuana 😂😂😂Hilo hilo ulilotaja hujaenda mbali na jibu langu...
.
.
Kuna bidada mmoja amenizid umri kidogo nlianzana nae mwaka 2008 alikua chuo nikiwa f6 leaver hatujawah kuwa na uhusiano rasm zaid ya kukulana tu...
Kwa mwaka tunapiga show hata mara mbili tu akipata tu kalikizo huko aliko utaskia tu nakuja huko ulipo nitengee wk yng moja nzima unipukuchueeeee (anapenda sana kutumia hili neno) mpka nikitoka huko nikalazwe hosp ya jiran... alitoka huku kwny pasaka tangu arud kwake hatujawah hata kusalimiana zaid ya nmefika salama baaaassss...
.
Sasa huyu anafall kundi gan hapo?
Simpi hela zaid ya tunazotumia tukiwa wote, no show up no kubebishana lkn kisimi kikimsimama atapanda basi anifuate nilipo na kwa sasa ni safar ya siku mbili lkn haijawa kikwazo kwake
Haaa haaa kaishaona swali lako
Daaah....Ile elfu 10 yako ya nauli
Uliyempatia yule mtoto mwanafunzi
Inshaallah itajibu.
Maana uliitoa kwa mmoyo mmoja
Katika watu wanaoongoza dhambini we we ni jemedari na umeshika bango kubwaaaa..[emoji23][emoji23][emoji23]Ahhahaha kundi namba moja wanazingua sana unampenda anakuzingua
MateKumbe me ni hendisamu basi
😂😂😂 hii inaweza kuwa sababu kwa sisi wenye sura kama kashata za BridgestoneAnaweza asiwe handsome, akiwa romantic na caring baaas kwisha habari yangu
Hahahah sijui maana wao ndio wanaoona hivyo ila mi najiona kawaida tu. I have a strength in caressing, thats the least i know.😂Mate
Usiniambie watu wanakimbizana sababu yako!
Hongera sana mate!Hahahah sijui maana wao ndio wanaoona hivyo ila mi najiona kawaida tu. I have a strength in caressing, thats the least i know.[emoji23]
Yatupasa shukuru kwa hata kidogo.Daaah....
Umenikumbusha mbali sana! Ndo maana unaambiwa ukitaka kujua wewe uko na khali gani angalia wa nyuma yako!
Yule mwanafunzi sijui kama alikuwa kapata hata kikombe cha chai ya rangi!
Aya jipigie debe vizuri uelewekeWanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
Ni kweli kabisa yatupasa kushukuru mno jamani!Yatupasa shukuru kwa hata kidogo.
Mungu alicho tujalia.
Maana ukipewa ufunuo uone walio chini yako utalia. Tokea siku ile na Mimi ni kakuweka kwenye fungu la pekee
ameen; atulinde soteNi kweli kabisa yatupasa kushukuru mno jamani!
Niliwaza sana mimi, ila Mungu ni mwaminifu naamini anazidi kumuinulia watu!
Nashukuru mno babake kwa kunipatia nafasi kwenye moyo wako! Mungu azidi kukulinda tu jamani!