Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Huyo siyo yeye mkuu. .. [emoji4]Demiss mbona unatutega, Lakini una tako laini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo siyo yeye mkuu. .. [emoji4]Demiss mbona unatutega, Lakini una tako laini.
Huyo siyo yeye mkuu. .. [emoji4]
Hahahahahhhhh. ..Nikajua yeye, kidogo nianze kulike comment zake zote humu jf
Ila piah kuna wabaya hawana hela wanapendwa hivyo hivyo
ungekuwa mkemdada mtu mzima nigekuamini. lkn saa kitoto cha sec. aaah.Yupo kundi 2
Bila shaka wewe ni mrangi, mnajua sana maigizoLeo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Mimi nipo kundi moja, ndio tunazingua kwa sababu, unakuta mwanamke anakupenda hana mvuto. Na tunaongoza kupendwa na wanawake wasio na mvuto! Mpka kinyaa, Tunajuta kuzaliwa na sura za mama zetu