Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Hivyo vigezo vyaweza kua vingi sana au vichache sana kwa mwingine as long as watu wanatofautiana na wapo ambao hamna kigezo chochote kati ya ulivyotaja kitakachomvutia kukuoa

So thats maybe but hamna formula ya moja kwa moja wala mtu usijichoshe
 

Tatizo mtu anakuwa na 1st, 2nd, 3rd, 4th choices za kuoana nae. Sasa mimi nikiwa ni fourth choice yako halafu nikakuoa, bado utaendelea kuwapa ile kitu wakina 1st,2nd& 3rd choice wako, hapo ndipo inapokuwa ngumu kwa mimi kuolea watu wengine.

Kwanye red: kuna muda wa kumkamata mtu wa kukuoa, huo muda ukipita ukazeeka itakuwa ni ngumu mno kupata mtu. Nakushauri chakarika sasa hivi.

kwa kuanzia tu vaa hii pete:

 
Nakasirika nikisikia wa namna hii,sawa tu...-(imenitokea)
dah kuna mdau m1 alibeba mimba ya kwanza mpaka sasa mtoto ana miaka 6 hajamuoa , ila amebeba mimba ya 2 ya jamaa mwingine cjui ataonesha nia ,wanawake kazi tunayo
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni kumuomba Mungu tu akupe kiatu cha size yako maana wanadamu ni wazuri wa ku'pretend unaweza ukaja na ka'checklist kako ukamuona mtu anafaa kwa vigezo vingi lakini kumbe muda wote alikuwa anakuchora then mnapoingia ndani ndo muziki ukaanza!!!
 
Last edited by a moderator:
dah kuna mdau m1 alibeba mimba ya kwanza mpaka sasa mtoto ana miaka 6 hajamuoa , ila amebeba mimba ya 2 ya jamaa mwingine cjui ataonesha nia ,wanawake kazi tunayo

Hii ya pili lazima ikubali...lol
 
She who controls the thingy btn the legs controls the man!
 
ni kweli hivyo vitu tungependa kuvipata kwa mke mtarajiwa ,ila ukweli unabakia kuwa ndoa nyingi watu hujilipua tu baada ya kuona unaelewana na bi mdada otherwise hayo mambo ya kuchagua mwenzi wa ndoa ni magumu sana mkuu.
 

Nimeuliza tu jamani naona karibia naanzishiwa thread nyingine punde si punde.
 

Kwangu mimi Marriage is SACRED! I lie to u guys all the time but liying to God is INSANE! He sees me inside out! Who i realy love n who i dont! Hiingii akilini kumzuga Mola kuwa C ndo chaguo lako wakati A ndio chaguo lako and You and God both know it! Who are you fooling?

Watu tu hawajui Ndoa ni beyond watu watakuonaje usipoolewa! Mimi bora liende nakukabidhi weye unayeyaweza! Mimi Bado Nipo Nipo Sanaaaaaaaaaa!

BTW Pete ninayo sanaa ila siitili maanani kivile! Its the second anyway ndo maana sina mchecheto! Naiweka bond tu, tukivurugana naiwashaje kwa sonara nitoe mkufu mie!!!!! Hatupi mtu dhahabu chooni kwa hasira!
 
Nyie mnao-quote li thread lizima mnakera.Kwani huwezi kutoa mchango wako mpaka u-quote thread yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…