Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
But isikuzuie pale kutakapo kuwa na uhitaji wa lazima hasa ugonjwa kumsaidia..... mambo ya kwenda kila jioni sijui kila weekend kufanya usafi mnajitafutia tu mabalaa... ndo wale wakiolewa mume hakusaidia chochote maana anajua trekta limekuja hilo... yeye miguu juu wakati woote hata kama unaumwa lazima uingie jikoni na kazi nyinginezo.
wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....
Hahaaa we Tized unanichekeshaje eti trekta lol..
Nina rafiki yangu hapendi kupika achilia kuosha vyombo akiwa kwa bf wake anajituma huyoo balaa vyombo vimejaa karo ila ye anafanya vyoote hivyoooo
Nikisoma comments zenu yananikumbusha mengi yakiwemo mie mwenyewe niliyokuwa nafanya aiseee
wee hawa wahuku hawajui va jf wala nin
Siku me atakayoniona namfulia,pika,usafi etc kwake hajanioa atakuwa na ngekewa sana,am over smart at doing them but.sijawahi na sifikirii kufanyia km hajanioa.
Wapi huko?????
mi jana kuna T shirt langu la jf nilivaa wee watu wapo kuniuliza vibaya saaana.. nilikua hospital huyo mdada mmoja akaniambia mie member kule napendaga udaku na photos akachukua file langu lishugulikia fasta...
Mie nikajifanya ni mode kumbe hamna lolote.... anawezekana akaja kunisoma huku.ila alinisaidia saana jana
Nazitafuta sana hizo t-shirt wewe uliipataje?
KIUKWLI MI napenda mwanamke kama wewe...Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Mkuu hili la UTII wanawake wengi either hawalijui au wanalidharau hili ndo huwagharimu sana sana mengine ni kachumbarimimi binafsi nampenda mwenye utii na anipende ,maana wanaume tunapenda kuheshimiwa kwanza tofauti na wanawake ambao wanahitaji sana upendo
utii+upendo lazima weeding bell zilie
ukileta ujuaji mwanamke utamegwaa mwisho utaishi kusema wanaume baba yao mmoja
Tulivyoenda Ocean road ndio tulipewa.. sa sijui kama huwa wanaziuza au vipi....
Mke ni kama business patner wakk katika family...Mara nyingi wanaume huwa tunaoa Vichwa means thats mke anayeweza kukusaidia katika family...Mke anatakiwa kuwa na tabia njema...awe na heshima..msikivu na mcha mungu..
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.