Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Zinduna makalio makubwa mbona hata Asha Ngedere anayo!? Mke ni zaidi ya makalio makubwa huo ndio ukweli halisi.

Wanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
 
Last edited by a moderator:
hivi ndio kusema tunajua kupenda sana au ndio ule msemo wa love is blind unachukua nafasi yake
mwanaume anayekuomba mtandao au anae kwambia ukae unatoa mimba zake HE WILL NEVER MARRY YOU
 
But isikuzuie pale kutakapo kuwa na uhitaji wa lazima hasa ugonjwa kumsaidia..... mambo ya kwenda kila jioni sijui kila weekend kufanya usafi mnajitafutia tu mabalaa... ndo wale wakiolewa mume hakusaidia chochote maana anajua trekta limekuja hilo... yeye miguu juu wakati woote hata kama unaumwa lazima uingie jikoni na kazi nyinginezo.

Hahaaa we Tized unanichekeshaje eti trekta lol..

Nina rafiki yangu hapendi kupika achilia kuosha vyombo akiwa kwa bf wake anajituma huyoo balaa vyombo vimejaa karo ila ye anafanya vyoote hivyoooo

Nikisoma comments zenu yananikumbusha mengi yakiwemo mie mwenyewe niliyokuwa nafanya aiseee
 
Last edited by a moderator:
wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....

Hahahaaa shosti we noumerr aiseeee what if hilo gari umenunua mwenyewe... mambo ya kupika umeweka kapuni

Thread yanichekeshaje hii
 
Yaani yule asiyeshabikia mambo ya Beijing wallah anaolewa haraka sana...

Sasa mtu ajifanye yeye ndo m-Beijing mwandamizi... huyo ataisoma namba.....

Na wa hivyo huishiaga kusema sina shida ya kuolewa, YAANI I CAN MANAGE..... NA NDO HAO BADO WANAMENEJI MILELE AMINA.....

CC: tumboo, lara 1

Hahaaaa utuwache wabeijing........ maana kuna muda na nyie wanaume mmezidi wallah
 
Hahaaa we Tized unanichekeshaje eti trekta lol..

Nina rafiki yangu hapendi kupika achilia kuosha vyombo akiwa kwa bf wake anajituma huyoo balaa vyombo vimejaa karo ila ye anafanya vyoote hivyoooo

Nikisoma comments zenu yananikumbusha mengi yakiwemo mie mwenyewe niliyokuwa nafanya aiseee

Halafu mwisho wa siku inakuwa 0+0=_
 
Last edited by a moderator:
wee hawa wahuku hawajui va jf wala nin

Wapi huko?????

mi jana kuna T shirt langu la jf nilivaa wee watu wapo kuniuliza vibaya saaana.. nilikua hospital huyo mdada mmoja akaniambia mie member kule napendaga udaku na photos akachukua file langu lishugulikia fasta...

Mie nikajifanya ni mode kumbe hamna lolote.... anawezekana akaja kunisoma huku.ila alinisaidia saana jana
 
Siku me atakayoniona namfulia,pika,usafi etc kwake hajanioa atakuwa na ngekewa sana,am over smart at doing them but.sijawahi na sifikirii kufanyia km hajanioa.

Wewe ni wife material.nimeshaku pm
 
Wapi huko?????

mi jana kuna T shirt langu la jf nilivaa wee watu wapo kuniuliza vibaya saaana.. nilikua hospital huyo mdada mmoja akaniambia mie member kule napendaga udaku na photos akachukua file langu lishugulikia fasta...

Mie nikajifanya ni mode kumbe hamna lolote.... anawezekana akaja kunisoma huku.ila alinisaidia saana jana

Nazitafuta sana hizo t-shirt wewe uliipataje?
 
Kikubwa ukikaa na msichana muda mrefu unaweza gundua tabia ambazo hazivumiliki.Mfano dharau,kiburi,arguments za bila sababu.Mara nyingi wavulana hawapendi tabia hizi hivyo huishi kuoa wengine.Ukiangukia kwa Dada zangu wa kishumundu jasho litakutoka.
 
Mke ni kama business patner wakk katika family...Mara nyingi wanaume huwa tunaoa Vichwa means thats mke anayeweza kukusaidia katika family...Mke anatakiwa kuwa na tabia njema...awe na heshima..msikivu na mcha mungu..
 
mwanaume anapenda mwanamke mwenye kujielewa baass
ndo mana pretenders wakiolewa baadae wakija onyesha makucha uhalisia wao mtu anakwambia najuta kwa kweli kumuoa
ukijielewa we mdada baaas yatosha
kingine usililie UZURI LILIA BAHATI
 
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.

Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.

Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...

Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?

Kwa hisani ya Insta.
KIUKWLI MI napenda mwanamke kama wewe...
 
mimi binafsi nampenda mwenye utii na anipende ,maana wanaume tunapenda kuheshimiwa kwanza tofauti na wanawake ambao wanahitaji sana upendo
utii+upendo lazima weeding bell zilie
ukileta ujuaji mwanamke utamegwaa mwisho utaishi kusema wanaume baba yao mmoja
Mkuu hili la UTII wanawake wengi either hawalijui au wanalidharau hili ndo huwagharimu sana sana mengine ni kachumbari
 
Tulivyoenda Ocean road ndio tulipewa.. sa sijui kama huwa wanaziuza au vipi....

Ok! kuna mtu niliwahi kumuona amevaa t shirt ya jf pale ubungo mwaka fulani hivi kabla sijawa member, ni t-shirt nyeupe, nzuri sana basi nikajua labda zinapatikana madukani.
 
Mke ni kama business patner wakk katika family...Mara nyingi wanaume huwa tunaoa Vichwa means thats mke anayeweza kukusaidia katika family...Mke anatakiwa kuwa na tabia njema...awe na heshima..msikivu na mcha mungu..

Kumbe mwanaume hata awe jambazi au mpagani lazima atafute mke ambaye ni mcha mungu?
 
Ndio maana wanaangukiaga pasipo then wanakuja lalamika...pia laana za hao waliowaacha/kuwapotezea muda zinawatesa..

Hiyo ipo sana Heaven on Earth wanaume hawa ndio maana wanatendwa siku hizi..Mwanamke akiwa na mwanamke anakuwa kaingia ila mguu nje mguu ndani..wkt wowote anatimua

Back
Top Bottom