Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
Karibu chamwino
Kundi la pili popote mlipo mbarikiwe sana. Amen[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi uyoooo
Aleee......[emoji3]
Nikijicheki kwa mirror nasema inamana yule manzi ananipendeaa nini mbn hela ndo simpatii kabisaYaani mpaka unajiuliza amekupendea nini huyu mwanamke?
Ila piah kuna wabaya hawana hela wanapendwa hivyo hivyo
Mbona kundi langu sijaliona apo
Nikijicheki kwa mirror nasema inamana yule manzi ananipendeaa nini mbn hela ndo simpatii kabisa
Mimi nipo kundi moja, ndio tunazingua kwa sababu, unakuta mwanamke anakupenda hana mvuto. Na tunaongoza kupendwa na wanawake wasio na mvuto! Mpka kinyaa, Tunajuta kuzaliwa na sura za mama zetu
Yupo kundi 2
Hilo hilo ulilotaja hujaenda mbali na jibu langu...Hahahhaha kundi lipi hilo?
Hahhahaha na ambaye ana mvuto hakupendi anapenda wa kundi la pili
Sisi ambao hatujabahatika pendwa mpaka sasa na pesa hatuna:Kundi gani jamani?