Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Hakuna user guide/Manual ya mahusiano.
Ila kwangu, Nahitaji mwanamke ambaye nita-experience nae Evolution pamoja kama; kutoka ujana hadi tamati yetu(mauti),Kulea watoto tuliojaliwa(tuliowazaa/walea) hadi pale watapojitegemea,Ambaye tutavumiliana na kurekibisjana mapungufu yetu,ambaye atakuwa rafiki yangu, Ambaye nita-feel uwepo wake(akiwa hayupo nitahisi kama kiungo cha mwili wangu kimepungua), a grown-up woman( mpenda dialogue wakati wa ku-solve issues zinapotokea na Kupanga mikakati ya kifamilia).
Hata akiwa ananuna nitamvumilia(Kawaida kwa wanawake), Nitamsapoti kwenye mambo yake ila siyo kusutwa(joke), Ambae hachoki kujifunza vitu vipya( hata kama nikufanya kazi online),hata awe mvivu lakini akishika kitu anacho kipenda akifanye kwa ufasaha.
Awe anajipenda (kwa kufanya chochote kinacho upendezesha moyo wake).
Mwisho awe na haiba(Personality) ya Kike.
 
1.Mchumi
2.Msafi
3.Asininyime hata siku 1 (atapata mwenza)
4.Anithamini kama wazazi wangu (atafurahia penzi langu pele yake)
5.Asipende pesa kuliko mimi
 
Pole sana binti kwa kuumizwa na huyo uliye nae
Tulia huenda huyo si wako, atakuja tu
kikubwa kubali kutumuka katika uwanja wa majaribio yaani ukiona hapa sehemu hapafai unatafuta pengine hivyo mwishowe utapata
hilo swali lako hutapata majibu
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
 
hata wewe Carleen inawezekana hutakuja kumpenda mwanaume kama yule X wako alokua anakucheat sanaaa, anakupasua kichwa na hakuna utakalomwambia akakuskiza, na hata akili yako ikushauri vipi huwezi kuiskiliza.

inawezekana kuna wanaume waoaji wengi sana, tena mi madecent balaa, wamekufata ila umewapiga chini ukiwa na matarajio ya kumrudisha kundini yule kivuruge wako.

Mi nahisi kama vile majibu unayo wewe mwenyewe [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Sikia bidada,

1. Wanaume wengi tunataka mwanamke mwenye hekima. Anaejua kumsoma mume na kumfariji pale anakuwa down. Pia atambue namna bora ya kumkosoa na muda sahihi wa kufanya hivo bila kusahau lugha!! Nk.
2. Atambue hali ya mume kiuchumi, sio anataka vitu beyond income.
3. Creative, awe mbunifu na mshauri bora.
4. Ajue namna ya kumpa changamoto mume ya kufikia malengo makubwa na awe nae bega kwa bega kum-push katika hilo.
5. Mtii na mnyenyekevu.
6. Na mengine mengi kama hayo.

NB: Ukiyafanya hayo na dume likaendelea kuwa pumbav, tambua una mkanda na suruali tu hapo.
 
Mbona majibu mengi harafu yote hayapo hivyo Mimi sifa zangu
Asiniombe hela bila sababu ya msingi na Kama ni ya msingi anipe vielelezo vya kueleweka
Awe mtu wa kunipa changamoto ya watafutaji wa maisha
Awe msafi sio lazima ajirembe
Sio lazima asuke au avaw wigi napenda natural hair
Asinibanie mchezo pale ninapo hitaji
Awe huru kuelezea hisia zake
Awe na upeo wa kutosha
Follow me Lord eyes
 
Akili akikosa akili awe na makalio, hayo makalio yatamsaidia kufikiria kama alivyosema mwamba mmoja (Masaburi R.I.P). Kuna swali?
 
Kuna sifa za kumvuta mwanaume aingie kwenye mahusiano. Hapa muonekano na namna unavyojiweka vinaplay part kubwa. Baada ya hapo, kuna sifa zinazomfanya mwanaume abaki kwenye mahusiano na wewe na ayathamini mahusiano hayo. Hapa muonekano na sex sio issue. Ukikosa hizo sifa, you could do backflips on his dick and he'll still dump you! Damn, kuna siri nzito za kiumeni nataka kuzivujisha hapa!
 
Back
Top Bottom