cognition
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 1,287
- 1,391
Hakuna user guide/Manual ya mahusiano.
Ila kwangu, Nahitaji mwanamke ambaye nita-experience nae Evolution pamoja kama; kutoka ujana hadi tamati yetu(mauti),Kulea watoto tuliojaliwa(tuliowazaa/walea) hadi pale watapojitegemea,Ambaye tutavumiliana na kurekibisjana mapungufu yetu,ambaye atakuwa rafiki yangu, Ambaye nita-feel uwepo wake(akiwa hayupo nitahisi kama kiungo cha mwili wangu kimepungua), a grown-up woman( mpenda dialogue wakati wa ku-solve issues zinapotokea na Kupanga mikakati ya kifamilia).
Hata akiwa ananuna nitamvumilia(Kawaida kwa wanawake), Nitamsapoti kwenye mambo yake ila siyo kusutwa(joke), Ambae hachoki kujifunza vitu vipya( hata kama nikufanya kazi online),hata awe mvivu lakini akishika kitu anacho kipenda akifanye kwa ufasaha.
Awe anajipenda (kwa kufanya chochote kinacho upendezesha moyo wake).
Mwisho awe na haiba(Personality) ya Kike.