Wanaume wengi kwenye hii amri ya Mungu hatutoboi

Wanaume wengi kwenye hii amri ya Mungu hatutoboi

📖 Mathayo 5:27–28
"Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."

Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Jibu ni kwamba wanawake wanaruhusiwa kutamani. Hiyo amri inawahusu wanaume peke yao.
 
Eti mtu uone mtako unaburutwa halafu unameng'enyuka kama ule niliouona leo Mlimani City halafu usitamani? Labda kama una matatizo aisee. Mimi huwa nasema kwamba tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo!

-1093218835.jpg
 
Eti mtu uone mtako unaburutwa halafu unameng'enyuka kama ule niliouona leo Mlimani City halafu usitamani. Labda kama una matatizo aisee. Mimi huwa nasema kwamba tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo!

View attachment 3444580
Kwahiyo mkuu umeamua kusindikizia na bastola kabisa, aisee kweli tunaokolewa kwa neema
 
Eti mtu uone mtako unaburutwa halafu unameng'enyuka kama ule niliouona leo Mlimani City halafu usitamani? Labda kama una matatizo aisee. Mimi huwa nasema kwamba tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo!

View attachment 3444580
Daah kweli hata mm hapa sitoboi kbs🤣🤣
 
Hayo si maneno ya Mungu,Mungu Yeye alisema usizini akamaliza.

JAMAA akaja kukazia ila sio sheria. na kitu kizuri zaidi ni kwamba Yesu alikufa kwa ajili yangu. sina wasiwasi nikitamani saa mbili nitatubu saa tatu over.
 
Yesu alikufa kwa ajili yangu. sina wasiwasi nikitamani saa mbili nitatubu saa tatu over.
That's not how this works! That is being desensitised to what Christ did, nailing him to the cross over and over again.

One who accepts Christ repents, repenting means changing your mind, turning around. So if you're still following the same path you have not turned / repented.

"The godly may trip seven times, but they will get up again."
Methali.24.16.NLT

What you're doing is not even tripping, you're literally planning to fall on purpose.


"Maana, dhambi haitawatawala tena, kwani hamko chini ya sheria, bali chini ya neema.

Basi, tuseme nini? Je, tutende dhambi ati kwa sababu hatuko chini ya sheria bali chini ya neema? Hata kidogo!

Mnajua kwamba mkijitolea nyinyi wenyewe kama watumwa na kumtii fulani, mnakuwa kweli watumwa wake mtu huyo – au watumwa wa dhambi na matokeo yake ni kifo, au wa utii na matokeo yake ni kufanywa kuwa waadilifu.

Ingawa mlikuwa watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini – namshukuru Mungu – mmetii kwa moyo wote yale maazimio na mafundisho mliyopokea.

Mlikombolewa kutoka utumwa wa dhambi, mkawa watumwa wa uadilifu

(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe). Kama vile wakati fulani mlivyojitolea nyinyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.

Lakini sasa mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uhai wa milele.
"
Waroma.6.14-22.BHN
 
Back
Top Bottom