Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Huna adabu wewe.....unatuambia baba zako na kaka zako ni reject?...ungezaliwa wewe ?
 
Moja ya tafiti za ovyo kabisa mwaka huu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mtoa mada kama ungejua wanaume wengi wanaichukuliaje JF usinge tumia nguvu nyingi kudefend hoja yako.
 
Sijambo.
Hii mada ina ukweli??

Mada haina ukweli cuz ndio kusudi kuwasilisha huo ujumbe. Lakn hawakosekani watu wa ivo humu.

Labda kama ni kwa mtazamo wa thread za kulalamika, hilo ni jambo la kawaida kwa wa tz.
Mtu kuwepo humu ni kuungana na wanajamii wengne kubadilishana maneno(kupata habarj). Habari ni nyingi na ni mchanganyiko ili muradi tu umeona hitaji lako ni kupata habari humu.
HUMU KUNA WATU WOTE....WA HOVYO NA WA MAANA. Utawatambua kupitia thread zao tu na uchangiaji wao.

HATA MUHITAJI WA MAPENZ AU MUPENZ/mume/kampany, kwa thread yake ama uchangiaji wake utaelewa. Sio lazm alalamike humu ndo awe rejected. Rejected makini hufuatilia topic mbali mbali humu na uchamgiaji wake ili ajifunze kitu kwa ajili ya maboresho. Anaweza pia kupata maboresho yake humu kwa kumpata anayemuhitaji kwa njia ya kuyasoma mawazo ya thread na comment.
Wengne humu ni kijiwe cha kupiga soga cuz mara nyingi wako busyless. Kama wew ni mwalimu na huna kipind cha kufundisha na huna jambo lingne la kufanya kwa wakati huo na huoni sababu ya mijadala laivu na hao ulonao hapo ulipo...basi mahali pazuri kwako ambapo hutakuwa bored ni JF...then unaingia kupata habari. JF NEVER BORERING...anapenda cucomment namna hii mdau fulani humu...na ni KWELI KABISA, JF NEVER BORERING.
NA kwa wale rejected woote...nawapongeza sana kwa uwepo wenu humu, hitaji lako lipo humu...soma humu uelimike na unufaike.
KUTOPATA patner wako mtaani kwako. Ati, mtu amekosaje mpenz ama mke/mume mahali anakoishi na kufanya kazi??? Usifikiri kila mtu ana fursa sawa na wew katka maisha. Tupo katka wakati wa kutoonana tunaohitajiana....sababu ukata wa maisha unaoleta ubize unaochagizwa na kasi ya ulimwengu wa kisasa. KWA HIYO KUTAFUTA PATNER WAKO HAPA JF NI SAHIHI...Siyo kwamba ni sababu umekuwa rejected mtaani kwako au oficn. Bali ni kwakuwa unaamini utampata patner wako popote ikiwa ni pamoja na jf cuz huko kwingine hujampata!

KAMA HUJAMPATA, AMINI UTAMPATA POPOTE UTAMPATA POPOTE HATA KAMA NI BARABARANI....Alimuradi ujiridhishe kuwa ndilo hitaji lako. Hakiki kama ni kweli hicho ndicho ukitakacho. Huwezi kuupata ukweli kwa 100%, lakn 70% zatosha wewe kuweka tiki. WATU WENGI WANAKOSA MAARIFA YA KUHAKIKI. Ndio matokeo ya stress mbali mbali na kuvurugwa! "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" ni muongozo wa kitabu kitakatifu...nayo na kweli, ndio shida tuliyonayo walimwengu iwe ni SINGLE ama PARED.. Peace & love!
 
Habari.

Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tuliopo MMU.

Kwa muda ambao nimekuwa mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.

Nenda Love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.

Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia Diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?

Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
Haya
 
Back
Top Bottom