Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Utakua hujui ulichokiandika au hukuelewa ulichokiandika
wewe kama unajua humatch na vigezo alivyoweka mtu kwa nini ukashfu au uponde? uwe unatumia akili yako vizuri kuwaza kabla hujapost humu.

haya mkuu wewe unaetumia akili vizuri

Na mtu mwenye akili zaidi

Endelea na JF "Dating Site"

Sisi tusiotumia akili tukuacheee
 
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini

Uwe unasoma vizuri mada mdogo wangu,usikurupuke,hapo tu umeonyesha uwezo wako wa akili ukoje alafu unataka kujifanya unawaza maendeleo,hatari sana. alafu tutegemee watu kama wewe ndio walete maendeleo?

Hunipangii cha kuandika,najisikia kuandika chochote wakati wowote siku yoyote.
 
Hahahaaa hii kali ya 2015,ngoja uone watakavyokupinga-akitokea dada yupo above 30 ..anatafuta mchumba,wanarusha mawe weeee kumbe wanajifariji huko mtaani wamekataliwa...mnh...haya bwana...

maneno ya kujifariji tu hayo....ia ukweli unajulikana.

jf is never borering!
But sometimes vise versa is true.

Siku zote nilijua wewe ni mwanaume!!!!!!!!!!!!!!
Kumbe leo umegunduaje.....?

Wewe ni muongo uliopitiliza maana wengi tunakuja huku kuburudisha macho na kupotezea muda wala hatuna mahitaji unayotuambia
mwanaume unakuja mtandaoni kupoteza muda huku wenzako wanakuja kuwinda popo....

na wanaume wengi wanaolialia hawana mvuto wala ela wapo tu kuponda wanawake utafikili wao wamekamilika
kweli hayo uyasemayo mkuu? Agata?

Inaonyesha mleta uzi yuko period ndiyo maana anapost utumbo.
duuu....

Mkuu na mimi naomba collabo huyu katuzarau sana!
Kwahiyo unataka nawe ukaunge cheni...mpige mande / mnyororo?

Teh teh unajifunzia English JF...!

Karibu sana Mr. 'Reject'
Labda mdau mleta mada naye ni "reject" katika English , huwezi jua.
 
Last edited by a moderator:
Wee mtoa mada wewe hiv unaakili timamu kweli?Ninamashaka na jinsia yako, kama ni ME utakuwa na jinsia mbili na kama ni KE utakuwa Tom boy.
 
kwani wanaume wa jf wametoka sayari gani?
 
Uwe unasoma vizuri mada mdogo wangu,usikurupuke,hapo tu umeonyesha uwezo wako wa akili ukoje alafu unataka kujifanya unawaza maendeleo,hatari sana. alafu tutegemee watu kama wewe ndio walete maendeleo?

Hunipangii cha kuandika,najisikia kuandika chochote wakati wowote siku yoyote.

Mbona umepanic mkuu
 
Habari.

Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tuliopo MMU.

Kwa muda ambao nimekuwa mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.

Nenda Love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.

Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia Diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?

Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
sidhani kama umewaza sawa, nachojua mwanamke ili amkubali mtu she must appreciate something from him, hivyo vitu anavyovitaka yeye haviwezi kumfanya huyo mwanaume aitwe reject. kama atakataliwa na kila mwanamke we can call him rejected person lakini nachojua hakuna mwanaume anakataliwa na kila mwanamke, huyu atakuacha yule anakutaka hata cc kuna watu tuawachukulia poa lakini kuna sehemu wanakua accepted so tuombe radhi mkuu.
 
Hebu tuangalie mfano hapa

Huyu dada kaandika anataka mume

Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu


Angalia na huyu hapa


Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu



Hebu niambieni watu kama hao kwa nini wasiitwe reject,vigezo gani hivyo vya kulalamika kwamba mwanamke ajiumbie mwanaume wa namna hiyo,ina maana watu wenye sifa hizo hakuna humu?

Teh Teh
 
sidhani kama umewaza sawa, nachojua mwanamke ili amkubali mtu she must appreciate something from him, hivyo vitu anavyovitaka yeye haviwezi kumfanya huyo mwanaume aitwe reject. kama atakataliwa na kila mwanamke we can call him rejected person lakini nachojua hakuna mwanaume anakataliwa na kila mwanamke, huyu atakuacha yule anakutaka hata cc kuna watu tuawachukulia poa lakini kuna sehemu wanakua accepted so tuombe radhi mkuu.

I guess hukuelewa mada.
 
Hebu tuangalie mfano hapa

Huyu dada kaandika anataka mume

Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu


Angalia na huyu hapa


Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu



Hebu niambieni watu kama hao kwa nini wasiitwe reject,vigezo gani hivyo vya kulalamika kwamba mwanamke ajiumbie mwanaume wa namna hiyo,ina maana watu wenye sifa hizo hakuna humu?

Sasa ndugu yangu, ulitegemea watu wote wanaochangia humu JF ktk MMU kuwa na mtazamo mmoja??? Kwenye watu wengi tegemea watakaokupinga na kukuunga mkono usemacho!
Sasa NAKUOMBA rudi kwenye hizo uzi rejea hapo juu, kisha angalia kama hakukuwa na positive answers!! Usitegemee jibu moja, natumia simu ya blackberry bila platform ya JF, hivyo kuweka link ni mchakato mrefu kidogo, ila nachotaka kukwambia ni kwamba kuna wanaume pia wame-post uzi za kutafuta wenza humu na wakapondwa na pia kuungwa mkono na baadhi ya wanawake!
Hivyo, penye wengi, tegemea majibu tofauti!! KUBALI KUWA CHANGAMOTO ZITO.
 
tena sana tu...


Ina maana mkuu wataka kusema wanaoshinda humu ni wanaume wa dar tu...?

Labda sijui nini kinaendelea kati ya wewe na uliyem-quote hapo, ila logic yako iko wapi ya comment yako na ulicho-quote?
 
Anyway, naona watu wamepanic sana,nimerusha mshale gizani sasa nasikia mikelele watu wanagugumia kwa maumivu.
  • Kwanza sijasema wanaume wote,nashangaa vilaza wasiojua kusoma vizuri wanakuja hapa kunituhumu minetukana wanaume wote,kama unajua umeguswa sema wewe umeguswa sio wanaume wote.
  • Mimi ni mwanaume ,hilo haliondoi haki yangu ya msingi ya kutoa maoni kuhusu yoyote awe mwanaume au mwanamke,haiwezekani wanaume wazima mje kulalamika lalamika humu kama watoto kwa vigezo vya kawaida wanawake wanavyotaka alafu mzuie watu kutoa maoni,huo utakua ni ujuha wa hali ya juu
  • Kama unajua wewe sio reject hii topic haikuhusu
  • Mimi sio supu ya mawe.
  • Kama umeoa na ukalalamika kuhusu hii topic una matatizo,soma uelewe muktadha wa mada hii,ni kwa wanaume ambao wanalalamika humu kila siku kua wanakosa wapenzi/wake wa kuoa,wanaachwa nk,kama umeoa haya yanakuhusu vipi?
Wanaume wenzangu acheni kulalamika,kueni wanaume vinginevyo lazima uwe reject.

Nashukuru kwa kunithibitishia kuwa wewe ni Me na pia si Supu ya mawe. Nilikuwa nina mashaka hapo, sasa niko sawa!
 
Back
Top Bottom