sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 798
aise si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread za MMU kizazi kipya hizi...teh teh!!!
Dogo haujui unachoandika, shule zimefungulia siku nyingi nashangaa wewe hadi leo bado haujarudi shule...kasome dogo sisi kaka zako!!!!
hahaha huyu sii dogo na wala hasomi na wewe ni team reject? kidding
team reject wamechachamaa hao!!
hahaha leo dogo kalenga mule mule
sindano zinaingia kiulainiiii, bora tu maana walivyozidi kutuandama hata hatupumui, hii ndio kubwa lao la kufungulia mwaka i think ya kufungia pia! teh teh teh
hahah ona wanavyopanick ila dogo kaongea point kama mtu hana vigezo alivyotaja ni reject tu atafiti wapi kidding
kuna thread zingine mwanamke unapita tu. haina haja yakukomenti. maana mtoa mada ni mjinga sana
utafiti wa nn na daily tunashuhudia wenyewe!!
hahaha hatuambiwi tazama macho tunayo
haswaaaa!!! leo kila aina ya vigezo vinatafutwa just to justify, mbona mada tamu sana hii!
Habari.
Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tuliopo MMU.
Kwa muda ambao nimekuwa mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.
Nenda Love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.
Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia Diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?
Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
utafiti wa nn na daily tunashuhudia wenyewe!!
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini