Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atoto does this mean unathibitisha kuwa mada hii ni kweli, meaning hao reject umeisha kutana/wasiliana nao humu JF
bora uwachane me wenzio maana wamezidi
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini
Kaka umepanic bure, je wewe ni timu rejected?
Kajifunze kwanza maana ya GMT maana JF ina member dunia nzima je unajuwa Japan ni saa ngapi saa hizi? au unadhani huu ni mtandao kwa ajili ya watumiaji wa Tandale tu?
By the way hardworker unapata wapi muda asubuhi wa kuja kucomment thread hii?
mmmh!! hii mada haijaanzishwa leo rudia kuangalia!!
Kaka umepanic bure, je wewe ni timu rejected?
Kajifunze kwanza maana ya GMT maana JF ina member dunia nzima je unajuwa Japan ni saa ngapi saa hizi? au unadhani huu ni mtandao kwa ajili ya watumiaji wa Tandale tu?
By the way hardworker unapata wapi muda asubuhi wa kuja kucomment thread hii?
Mi sijapanic mkuu,ila Mimi nadhani mtoa mada atakuwa mwanamke ila ameandika kama mwanaume
Tukubali kutokukubaliana tuishambulie hoja.
Unaposhangaa topic ya mapenzi asubuhi unashangaza wakati wanaume wote akilala na mwanamke cha kwanza asubuhi ni bao la asubuhi kama Museven anavyoamka na BBC.
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibumaishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo ninafanya kazi katika Shirika binafsinina elimu ya Diploma.
Nahitaji mwanaume awe mkristo preferably RC awe na shughuli inamuingiziakipato,mrefu na awe na umri kuanzia miaka 31-39.
Tafadhali aliye serious naomba ani PM.
Angalia na huyu hapakwa vigezo vyako hivo mtengeneze mwenyewe awe wa kwako
Mm ni mdada nina miaka29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikanapole.
Wasifuwangu:
Mrefushape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini:mkristo.
Elimu:degdree ktk sekta ya afya.
Sifaza ninaye mtafuta :
Mwanaumeumri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu,elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
Kajichongee kinyago chako dada halafu hizo degree na masters utakitunuku tu hata zile za jk
Kama Unatafta Mume Kwa Masharti Utasubiri Sana Mpaka Uumpate Cha Msingi Wewe Fanya Yako Tu Siyo Lazima Kuishi Na Mwanaume
Hebu tuangalie mfano hapa
Huyu dada kaandika anataka mume
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Angalia na huyu hapa
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Hebu niambieni watu kama hao kwa nini wasiitwe reject,vigezo gani hivyo vya kulalamika kwamba mwanamke ajiumbie mwanaume wa namna hiyo,ina maana watu wenye sifa hizo hakuna humu?
umevurugwa...
Ina maana mkuu wataka kusema wanaoshinda humu ni wanaume wa dar tu...?picha limeamza rasmi..
kuna mtu aliwahi kusema mwanaume wa maana hana muda wa kushinda jamii forums. na ku post thread kila muda..
maana kichwa kipo busy na majukumu yake ya maisha
Kusema ukweli mtoa mada kanishangaza binafsi
Sio watu wote wako JF kutafuta wanawake
Kwa wengine JF ni sehemu ya kujifunza.
Na sijui anaposema reject...i don't understand...how comes mtu awe reject? My belief is kila mtu ana choice yake ,i mean perfect match yake.
I think mtoa mada alikua anajaribu kujielezea yeye na jinsi anavyoichukulia Jamiiforum kama "Dating Site"