Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta Ni PungaseseHii thread ilitakiwa ianzishwe na mwanamke .
Sasa ww mwanaume utajuaje uzuri wa mwanaume mwenzio?
Poor BrainMimi demu yeyote natoka nae awe na shepu asiwe na shepu, mwembamba ama mnene nadate nae
Muhimu awe na hela zake tu 😅😂😂
Unaweza kuta ni promo, hawa madogo siku hizi hovyo kabisa. 🚮🚮Anautaka.
Kuna mitoko inahitahi uturi mkuu unaweza ukaenda na vumba la feri sehemu za heshma.Ukishakuwa na mwili wa kiume, umemaliza kazi. Kataa vitambi.
Haina haja ya kunukia sana, kwanza kunukia sana ni kama adhabu.
Mwanaume kuwa handsome Inasaidia kwenye maswala ya mahusiano, karaha za kukataliwa na karibia kila mdada unaemtongoza, kuzungushwa mda mrefu sana kabla ya kupewa papuchi, kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongoza, kuwekwa friendzone, kuchunwa mara nyingi na kuombwa hela kila saa na wadada, izo karaha utakua unazisikia tu kwa wenzio, zinaweza zikakukuta, ila ni kwa kiasi kidogo sana edon66Mwanaume kuwa nzuri inasaidia nn mkuu km hauko na pesa Kwa wallet ..
Sasa jamani mie mbona sio mpenzi wa wanaumeMwanaume mzima unajiita chambo, mtoto anautaka huyu, oya mwanangu mzabzab peleka moto mzabzab
Ahahaha hamna kitu kama hicho
Wasamehe bure mkuu,.. ndo wadogo zetu hawa, hawajui mipaka ya uanaume,....Hii thread ilitakiwa ianzishwe na mwanamke .
Sasa ww mwanaume utajuaje uzuri wa mwanaume mwenzio?
😂Huyu ukikaza unapiga.
JAMAA AMEANDIKA UPUMBAVU!Hii thread ilitakiwa ianzishwe na mwanamke .
Sasa ww mwanaume utajuaje uzuri wa mwanaume mwenzio?
Kabisaa maana hajiaminiJAMAA AMEANDIKA UPUMBAVU!
MWISHO NDIO HAWA HUISHIA KUINGIZIWA VITU MATAKONI.