Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

Mimi demu yeyote natoka nae awe na shepu asiwe na shepu, mwembamba ama mnene nadate nae
Muhimu awe na hela zake tu 😅😂😂
 
Mwanaume kuwa nzuri inasaidia nn mkuu km hauko na pesa Kwa wallet ..
Mwanaume kuwa handsome Inasaidia kwenye maswala ya mahusiano, karaha za kukataliwa na karibia kila mdada unaemtongoza, kuzungushwa mda mrefu sana kabla ya kupewa papuchi, kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongoza, kuwekwa friendzone, kuchunwa mara nyingi na kuombwa hela kila saa na wadada, izo karaha utakua unazisikia tu kwa wenzio, zinaweza zikakukuta, ila ni kwa kiasi kidogo sana edon66

Au sio wanawane mshamba_hachekwi MAKANGEMBUZI
 
Hii thread ilitakiwa ianzishwe na mwanamke .
Sasa ww mwanaume utajuaje uzuri wa mwanaume mwenzio?
Wasamehe bure mkuu,.. ndo wadogo zetu hawa, hawajui mipaka ya uanaume,....
 
Mikoani hii haipo , kuna sehemu ipo sana watoto wa kiume kujadili wanaume wenzao!
 
Mleta Mada we hujielewi na hujitambui na Uzuri au muonekano wa mtu hutokana na mtazamo wa mtu. Remmy Ongara alioa mzungu pamoja na kwamba katika watanzania wenye sura mbaya kwenye top 3 alikuwemo.

Bado una akili na mitazamo ya kitoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…