Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo.

Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika.

Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke unapika vitu visivyoeleweka unategemea mume wako atakuwa na amani ya ndoa.

Ukienda kwa Shilole au kwa Esha Buheti, Sele bonge nk, unakuta namba nyingi za wanaokula pale ni wanaume wenye ndoa zao, tena unawakuta usiku, muda wa kula nyumbani Ila wapo kwenye migahawa wanasifia chakula kizuri. Ukiwauliza vipi wife nyumbani si amekuandalia msosi, utasikia majibu yao chakula cha home nimekichoka, kumbe uko nyumbani anaona misosi mibovu.

Wanaume ndio maana tunapenda kwa michepuko, unapewa penzi tamu na msosi bomba, yana msosi full, manjonjo kama yote, nguvu ya kumuacha michepuko inatoka wapi?

Makabila ambayo wanawake zao hawajui kupika👇
~ Wabena
~ Wangoni
~ Wasukuma
~ Wamatengo wa mbinga
~ Wachaga
~ Wanyakusa
~ Makabira ya singida baadhi
~ Wamasai nk

Mke wangu kama ananipikia chakula kizuri hata akicheat sina time nae, nachoangalia ni msosi tu, mbususu ipo tu naiona ya kawaida.

Wanaume tunapenda chakula kizuri, sio ufundi kitandani.

Team kataa ndoa wana mengi sana ya kutotamani ndoa.
 
Makabila ambayo wanawake zao hawajui kupika👇
~ Wabena
~ Wangoni
~ Wasukuma
~ Wamatengo wa mbinga
~ Wachaga
~ Wanyakusa
~ Makabira ya singida baadhi
~ Wamasai nk
Hawa akina Sanga hawakosekani kweeli hapa, Nani Sanga wanajua kupika kweli wale ambao kaka zao wamejaa k/Koo ni Wafipa?
 
kwa sasa hata hayo makabila sio kweli kwamba hawajui .. Sasa kuna darsa nyingi za online zinaendeshwa za mapishi .

kingine tambua mikoa na jamii tofauti wana vyakula tofauti vya kiasili ambayo ni nadra kukuta jamii nyingine.

yoteyote kama mwanamke wako ni adaptive na anapenda kujifunza basi lazima atajua vingi...Kuna vipind vya mapishi wanawake wanakua active kuangalia na kujifunza .

kingine acha pesa nzuri sio kila siku ugali
 
Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo.

Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika.

Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke unapika vitu visivyoeleweka unategemea mume wako atakuwa na amani ya ndoa.

Ukienda kwa Shilole au kwa Esha Buheti, Sele bonge nk, unakuta namba nyingi za wanaokula pale ni wanaume wenye ndoa zao, tena unawakuta usiku, muda wa kula nyumbani Ila wapo kwenye migahawa wanasifia chakula kizuri. Ukiwauliza vipi wife nyumbani si amekuandalia msosi, utasikia majibu yao chakula cha home nimekichoka, kumbe uko nyumbani anaona misosi mibovu.

Wanaume ndio maana tunapenda kwa michepuko, unapewa penzi tamu na msosi bomba, yana msosi full, manjonjo kama yote, nguvu ya kumuacha michepuko inatoka wapi?

Makabila ambayo wanawake zao hawajui kupika[emoji116]
~ Wabena
~ Wangoni
~ Wasukuma
~ Wamatengo wa mbinga
~ Wachaga
~ Wanyakusa
~ Makabira ya singida baadhi
~ Wamasai nk

Mke wangu kama ananipikia chakula kizuri hata akicheat sina time nae, nachoangalia ni msosi tu, mbususu ipo tu naiona ya kawaida.

Wanaume tunapenda chakula kizuri, sio ufundi kitandani.

Team kataa ndoa wana mengi sana ya kutotamani ndoa.

we komaaa
 
Msosi noma sana, kuna pisi yangu moja hivi ilikuwa na desturi ya kuibuka geto weekend, mara nyingi alikuwa akija namnunulia tu kiepe na mazaga mengine tunapiga stori anasepa

Kuna siku weekend kama zali akaja mapema mjengoni tofauti na kawaida katukuta na marafiki kama wote tunacheki mpira na stori, ilipofika mida ya mchana wakati naskuti nimchukulie mazaga akasema mpo wengi unawanunulia nini rafiki zako? kama vipi kanunue vitu nipike

Nikapewa bonge la listi, viungo viungo + vikorombwezo

Akaingia jikoni, akakorofisha wee akatoa bonge la sufuria, si tunacheki tu movie

Kilivyoiva sasa, kila mtu kwenye sahani yake, mimi ikaletwa moja tushee, yule manzi alikuwa na balaa kwenye 6 kwa 6 lakini kwenye msosi alinimaliza, ule msosi ulikuwa ni mtamu balaa , wanangu walidata kabisa

Tokea siku hiyo, nilimthamini tofauti na ilivyo kawaida na nilimjaribu tena mara kadhaa kiupishi lakini alitoa msosi mtamu balaa nikajua huyu habahatishi ndio michezo yake

Isivyo bahati, mishe zilitutenganisha mikoa, akaolewa chap, mpaka leo ishapita miaka kama sita hivi ila wale rafiki zangu kila tukikutana humuulizia kinoma yule manzi, wanamkubali sana na wananilaumu kwanini niliyumba kutokumuoa

Kiaina nilijalaumu pia, kwani issue iliyonikwamisha ilikuwa tu uwoga wa maisha na kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya mapato
 
Back
Top Bottom