mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Leo nimeshangaa kusikia kuwa juzi kwenye tamasha fulani la muziki huu wa kizazi kipya jamaa fulani kapigwa na mpenzi wake wa kike wote ni wasanii mpaka jamaa akawa analia kama mtoto.
Nadhani hii tabia ya wanawake kuwabonda waume zao imeanza kuenea sana hapa Nchini,wengi wanabondwa ila inakuwa siri ya ndani hawasemi.
Je haya ni mapenzi,limbwata au ni wanaume kuwa tegemezi kwa wanawake nini sababu.