Wanaume wengi tunapigwa na wake zetu ila hatusemi

Wanaume wengi tunapigwa na wake zetu ila hatusemi

Leo nimeshangaa kusikia kuwa juzi kwenye tamasha fulani la muziki huu wa kizazi kipya jamaa fulani kapigwa na mpenzi wake wa kike wote ni wasanii mpaka jamaa akawa analia kama mtoto.

Nadhani hii tabia ya wanawake kuwabonda waume zao imeanza kuenea sana hapa Nchini,wengi wanabondwa ila inakuwa siri ya ndani hawasemi.

Je haya ni mapenzi,limbwata au ni wanaume kuwa tegemezi kwa wanawake nini sababu.
 
Ifike wakati sasa mwanaume lazima uuvae uanaume wako na umuonyeshe mpenzi wako picha halisi ya mwanamume na kwanini MUNGU alimuumba kwanza mwanaume badala ya mwanamke.......haya mambo ya mtoto wa kiume kuchekelea hata mambo ya kipuuzi eti kwa kuwa atamkwaza mpezi wake ni kukiuka kanuni za kiuanaume....mwanaume unatakiwa uwe na misimamo hasa kwenye mambo ya msingi.......humu kuna watu wanachekelea mada za kipuuzi na wanaogopa kuzipinga eti kwa kuwa wanaogopa matusi kutoka kwa mtoa mada.....watu dizaini hiyo sitashangaa nikisikia wanapigwa makofi na wake zao aun hata wapenzi wao....SHENZI TYPE..........
Hahaha
 
Back
Top Bottom