Wanaume wengi tunapigwa na wake zetu ila hatusemi

[MENTION=11706] Natumaini mgiriki hahusiki [/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa!
Ukisikia varangati linaloashiria kipigo ndani ya nyumba jirani halafu hakuna anayelia kwa sauti jua mwanaume kapoteza pambano dhidi ya wife wake.
Dah dume unapoteza pambano kwa wife kirahisi hata kung'ata na meno inakushinda!
 
Kumbe kweli wapo,dah!!!kupigwa na my wife wangu?akha!! umuntu atemwe igho?
 
huo ni uzembe na uzururaji
 
Kumbe kweli wapo,dah!!!kupigwa na my wife wangu?akha!! umuntu atemwe igho?
hii haiwahusu nyie wakurya maana iko vice versa mademu wenu wenyewe ndio wanaomba wapigwa japo kofi kabla ya kulala
 
Siku nitakayopigwa na mke nitakayemuoa nahakikisha najinyoga, maana sioni sababu ya mimi kuitwa mwanaume hafu nipigwe na mwanamke!!!

mmmmmh!! wanaume wa dar kazi mnayo!
 
ndo tunabondwa ndugu yangu
 
[MENTION=11706] Natumaini mgiriki hahusiki [/MENTION]

hahahaaa! Nikweli sihusiki mkuu hapa nina wasi wasi na mkuu flan, kwasababu naona anatokea mara chache sana humu jf pamoja na mkewe nafikir kapigwa mkwara. Sijui mmefichana wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli wanaume wengi wanapigwa ila wanaficha kwani ni aibu.Nawewe mwanamke unayempiga mmeo tabia hiyo sio nzuri
 
nimeisikia shilole ndio kamtwanga mwanaume wake mbele za watu juzi kwenye tamasha la tigo
 
hahahaaa! Nikweli sihusiki mkuu hapa nina wasi wasi na mkuu flan, kwasababu naona anatokea mara chache sana humu jf pamoja na mkewe nafikir kapigwa mkwara. Sijui mmefichana wapi mkuu

Tehe tehe, sijui atakuwa kwa michepuko! Maana,,
^^
 
Ni njia moja ya kuonyesha upendo kwa mwanamme kubondwa, na wanandoa wenye tabia hiyo ndio wadumuo. Naenda kulala.
 
Kama hukuzingatia suala zima la size namaanisha umbo kama umeoa mtu ana uzito kuliko weye watagemea nini? sababu kuna watu wana maumbo madogo anaenda kuoa jimama la nguvu mi naona mpigwe tu.
 
Back
Top Bottom