Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimeshangaa kusikia kuwa juzi kwenye tamasha fulani la muziki huu wa kizazi kipya jamaa fulani kapigwa na mpenzi wake wa kike wote ni wasanii mpaka jamaa akawa analia kama mtoto.
Nadhani hii tabia ya wanawake kuwabonda waume zao imeanza kuenea sana hapa Nchini,wengi wanabondwa ila inakuwa siri ya ndani hawasemi.
Je haya ni mapenzi,limbwata au ni wanaume kuwa tegemezi kwa wanawake nini sababu.
shemeji njoo unipikie leo dadako kaenda moshi likizo atakaa huko wiki tatu nataka akirudi akute shavu dodo nafsi imsute
hakuna tatizo kumsaidia dada yako
We mtu unamuowa Chausiku au Mwajuma ndalandefu unategemea nn.. Yaani huyo akikushindwa kwa mangumi anabomoa nyumba apate matofali ya kukutwangia... Au atafusha flampeni ..TV ...deki ... Huku akikutolea maneno mwenyewe utanywea
Na kwako pia swahiba wangu umelost......Au nawe umebondwa wauguza majeraha???
wamelegea sana kwa kujifanya wako bize, ata muda wa mazoezi hawanaAkiishi dar ndo anaruhusiwa kupigwa na mkewe?
hahahaaaa unamchokoza heeee!!!acha nimwite nameless girl naskia kuwa huwa unamkwida jamaa Himidini