Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
10,643
Reaction score
12,247
Majuma machache yaliyopita kuliibuka mijadala mikali sana ya kumdhalilisha mwanaume mwenzetu maarufu sana kwenye tasnia ya burudani hapa nchini kwetu Tanzania jina lake nalihifadhi kwa picha iliyorushwa na mwanamke mmoja mjinga jinga mno, mwenye husda za kipuuzi kwa waliofanikiwa zaidi yake ,asiyependa maendeleo ya wengine, mchawi mchawi sana, na mropokaji aishiye kwa Trump mwenye stress nyingi sana za maisha kutokana na kutofikia malengo yake aliyojipangia kimaisha, na hivyo anaamua kuwaprovoke wengine washindwe kama yeye ili tu kupunguza stress zake za kushindwa kwake kimaisha.

Kimsingi picha zile hazikuwa nzuri kwani ziliingilia privacy ya huyu muhanga mpenda matunuzi kwa kiasi kikubwa sana kwa kumdhalilisha sana na ni dhahiri alionekana kuweweseka sana kutokana na comments zake baada ya tukio lile.

Kilichonishangaza sana ni wengi wa wanaume tena nimewapendelea, vivulana vipuuzi pia viliingia kwenye mtego wa huyo p.imbi wa kwa Trump kwa kumdhihaki mhanga eti kwa kinachosemekana kuwa ana kibamia. Ingawaje huyu jamaa mimi pia huwa napishana nae sana kimitazamo kutokana na life style anayoishi na itikadi yake katika masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi, lakini kwa hili namtetea kwa nguvu zote.

Naamini kabisa mwanamke yeyote anayelalamika kuwa jamaa yake ana kibamia, kuna uwezekano mkubwa sana na yeye atakuwa na shimo lenye kina kirefu sana linaloweza kumuhifadhi hata joka refu lenye sumu kali sana aina ya koboko kwa urefu wake. Wanawake wenye vina vifupi au vya kawaida wala hawana tatizo na wanaume wahanga wa sampuli ya mhanga nayemzungumzia kwani kimsingi wamejitunza hawajapitiwa na mitalimbo mingi ya tofauti tofauti kama alivyopitiwa huyo mdada wa kwa trump hadi akaachwa na mumewe kwa kuwa inawezekana pango lake lilimnyima raha ya tendo la ndoa.

Wanaume niliowazungumzia hasa wote mlioshabikia upuuzi ule kwa kweli mmezingua sana na mmejidhalilisha mno kwani nimepata picha inawezekana hata nyinyi pia mkawa mnagongwa na mamendez na ndio maana mnajua kuwa vidushelele vichelema haviwakuni vizuri.

Tunapaswa kuwatetea na wanaanewa na kudhalilishwa kama huyu mhanga

Naomba kuwasilisha.

Nakaribisha povu la sabuni za aina zote.

Over!
 
Naunga mkono hoja ....kile ni kitendo cha kinyama. Hata kama humpendi binadamu mwenzio ni vizuri kubakiza utu wake na kuheshimu walau uamuzi wa muumba wetu kumfanya alivyo iwe kwa uzuri au ubaya. Kile hakikuwa kitu cha kushabikia bali kukemea!
 
Ni kweli mkuu, kuna watu yaani hawawapendi wenzao hadi wanaamua kuwadhalilisha utu wao wa ndani kabisa, tena na wengine wa jinsia ya mdhalilishwaji wanashabikia, kuna mahali hakupo sawa aisee kwenye bongo zao
 
Kuhusu Mange Kimambi mm namtetea 100% kwny harakati zake za kupigania usawa ktk nchi yetu, she's a good fighter..

Kuhusu ugomvi ya Mange na Le Mutuz Hapo Siwezi kuingilia maana wale kwa upande mwingine ni ndg wenye mahusiano ya kifamilia, wanajuana zaidi kuliko sisi tunavowajua!

Kwa upande wa Lemutuz binafsi huwa Namuona fala fala fulani, kubwa jinga aliepoteza mwelekeo wa kimaisha, anajidhalilisha yy na zaidi anamdhalilisha sana baba yake ambae nchi nzima inamheshimu sana kutokana na nyadhifa alizowahi kushika serikalini ikiwemo waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais!

Kwetu wanaume inatakiwa tu kujiamini, whether una kibamia au mtalimbo, Mhimu ni kujua namna ya kutumia vizuri kifaa chako, hata km utakutana na bwawa la nyumba yq mungu!
 
Hiyo tabia ilikuwepo upande wetu ila kwa sasa naona taratiibu inahamia huko kwenu.

Ila kwa Upande mwingine si anakidude kweli sa ulitaka wasemeje labda wakati kakitu kenyewe kalikuwa kanaonekana mubashara.

Vipo vya kumtetea mtu ila sio kwa kitu kama kile ambapo hata ukitetea watu watakushangaa. Wacha kulaumu.
 
Haha kwa kweli kitu kimeonekana kabisa sio kama kasingiziwa,na wa kulaumiwa sio dada aishie kwa Trump,wa kulaumiwa ni alievujisha kile kibamia watu tukakiona
 
Unapoteza mda kuandika ujinga ambao auna mantiki ..Lemutuz..anafaida gani kweny nchi yetu hii!.....Ukimzungumzia Mange Kimambi ..ujue unazungumzia Public speaker.

sasa Lijitu linavua nguo na kibamia chake alafu mnalitetea .
 
Haha kwa kweli kitu kimeonekana kabisa sio kama kasingiziwa,na wa kulaumiwa sio dada aishie kwa Trump,wa kulaumiwa ni alievujisha kile kibamia watu tukakiona
Umeonaeee. Sasa kuanza kulaumu hata havihusiani.

Alaumiwe aliekivujisha hao watazamaji waachwe tu wazungumzie walichokiona sababu wangeifanya siri nani angejua kama ana kiungo cha mboga. Hahahaaaa.
 
Umeonaeee. Sasa kuanza kuwalaumu wanaume wa jf hata havihusiani.

Alaumiwe aliekivujisha hao watazamaji waachwe tu wazungumzie walichokiona sababu wangeifanya siri nani angejua kama ana kiungo cha mboga. Hahahaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwandiko wako na jinsi unavyopangilia maneno yako vinafanana sana na huyu jamaa mhanga wa lile tukio

Kokobanga na nye nye nye

Unachoongea inawezekana kabisa mkuu,ila na wewe inawezekana ukawa unafanana kabisa na huo mfano wa joka kubwa aina ya koboko nililolizungumzia
 
Hiyo tabia ilikuwepo upande wetu ila kwa sasa naona taratiibu inahamia huko kwenu.

Ila kwa Upande mwingine si anakidude kweli sa ulitaka wasemeje labda wakati kakitu kenyewe kalikuwa kanaonekana mubashara.

Vipo vya kumtetea mtu ila sio kwa kitu kama kile ambapo hata ukitetea watu watakushangaa. Wacha kulaumu.
Dah Dah muone huruma
 
Back
Top Bottom