Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
SawaAs long as maandishi bado yapo na huishi milele,kwangu mimi hadi dunia ifike mwisho na yenyewe ndio yataondoka
Bado ni habari tu hiyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAs long as maandishi bado yapo na huishi milele,kwangu mimi hadi dunia ifike mwisho na yenyewe ndio yataondoka
Bado ni habari tu hiyo mkuu
Mmh. We kama umeamua kumtetea mtetee tu sababu yule sio mtoto mdogo na angekuwa ndugu yangu ndio ningemdharau mpaka basi na sio kwa maumbile yake hapana bali kwa ujinga anaoufanya hadi kudhalilika kiasi kile. Hivyoo.Mi nimemtetea kwa kudhalilishwa mkuu,angelikuwa ni ndugu yako wa karibu ungelifurahia japo ndio maumbile yake?
Kwani wenye maumbile makubwa wamejiumba wenyewe??
Kuna utani wa kutaniana ila sio kwa vya ndani kama vile mkuu
Hahahaaa. Huruma ya nini Mkuu?Dah Dah muone huruma
Hahahaa. Cheka tu ndugu yangu maisha ndio haya haya.😀😀😀😀😀
aisee umejua kunichekesha asubuhi hii mpendwa
Ila jamaa amezoea kujiaibisha sana eti bado alitoa ufafanuzi. .mcheki kileo alivyotulia mnabaki kuangaika tuu na spéculation kitu gani kimetokea. Huwezi kushindana na mwanamke maneno bora umchape vibao tuuHahahaaa. Huruma ya nini Mkuu?
Hahahaaaa. Na kweli aiseee.Ila jamaa amezoea kujiaibisha sana eti bado alitoa ufafanuzi. .mcheki kileo alivyotulia mnabaki kuangaika tuu na spéculation kitu gani kimetokea. Huwezi kushindana na mwanamke maneno bora umchape vibao tuu
Mwanaume kapewa nguvu mwanamke mdomo. Kilichotokea alitaka kuwa against nature na nature haikosolewi lazima ikunyooshe. Ukimkuta mwanaume anamdomo basi hana nguvu na ni shoga na mwanamke mtata basi haongei sana unashangaa kakupiga vichwa. Mikasa ya wanawake watata ipo tarime yani demu anakupiga chupa na vichwa mtu wa dar nilishangaa sana ubabe kule unatakiwa uwe mbabe sana ila kama unazuga meno utaacha barHahahaaaa. Na kweli aiseee.
Mwanaume kapewa nguvu mwanamke mdomo. Kilichotokea alitaka kuwa against nature na nature haikosolewi lazima ikunyooshe. Ukimkuta mwanaume anamdomo basi hana nguvu na ni shoga na mwanamke mtata basi haongei sana unashangaa kakupiga vichwa. Mikasa ya wanawake watata ipo tarime yani demu anakupiga chupa na vichwa mtu wa dar nilishangaa sana ubabe kule unatakiwa uwe mbabe sana ila kama unazuga meno utaacha bar
Umeongea vyema kaka, umefika wakati hatuheshimu utu wa wengine, kitu ambacho ni hatari sanaNaunga mkono hoja ....kile ni kitendo cha kinyama. Hata kama humpendi binadamu mwenzio ni vizuri kubakiza utu wake na kuheshimu walau uamuzi wa muumba wetu kumfanya alivyo iwe kwa uzuri au ubaya. Kile hakikuwa kitu cha kushabikia bali kukemea!
WellKuhusu Mange Kimambi mm namtetea 100% kwny harakati zake za kupigania usawa ktk nchi yetu, she's a good fighter..
Kuhusu ugomvi ya Mange na Le Mutuz Hapo Siwezi kuingilia maana wale kwa upande mwingine ni ndg wenye mahusiano ya kifamilia, wanajuana zaidi kuliko sisi tunavowajua!
Kwa upande wa Lemutuz binafsi huwa Namuona fala fala fulani, kubwa jinga aliepoteza mwelekeo wa kimaisha, anajidhalilisha yy na zaidi anamdhalilisha sana baba yake ambae nchi nzima inamheshimu sana kutokana na nyadhifa alizowahi kushika serikalini ikiwemo waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais!
Kwetu wanaume inatakiwa tu kujiamini, whether una kibamia au mtalimbo, Mhimu ni kujua namna ya kutumia vizuri kifaa chako, hata km utakutana na bwawa la nyumba yq mungu!
[emoji3][emoji3]Mwandiko wako na jinsi unavyopangilia maneno yako vinafanana sana na huyu jamaa mhanga wa lile tukio
Kokobanga na nye nye nye
Yani kama ukisingiziwa kashfa ya ushoga sijui unajiteteaje. Alishazushiwa hiyo kashfa Kuna kipindi mimi kama mwanaume niliona aibu ila yeye eti akajibu mapigo. Ningekuwa yeye ningefanyizia ndugu zake twende ngoma draw au kumroga tu though ni dhambi ila baadae ntamuomba mungu anisamehe. Mwanaume haongei ni vitendoHahahaaa. Umejua kunichekesha mno ujue.
Ndio hivyo ila ameshajifunza sasa kwamba vipo vya kuchezea ila sio mwanamke.
Yani kama ukisingiziwa kashfa ya ushoga sijui unajiteteaje. Alishazushiwa hiyo kashfa Kuna kipindi mimi kama mwanaume niliona aibu ila yeye eti akajibu mapigo. Ningekuwa yeye ningefanyizia ndugu zake twende ngoma draw au kumroga tu though ni dhambi ila baadae ntamuomba mungu anisamehe. Mwanaume haongei ni vitendo
Hahahaaaaa,broo sisi ni watetezi wa wanyonge tu.
Upo brooooooo?
Mkuyenge wangu unaujua vizuri sana bro ukizingatia wewe ni mybloody broooooo.
Jane yule wa Sinza uliyempaga dollar 100 fake baada ya kumkayee alivyoleta tamaa zake za pesa mbele hadi mtoto wa mjini wewe ukamfanyia umafia ule alikimbia mechi baada ya kuona dhakahari yangu kaka .
Kuwa kwetu sawa tusikae kimiya wakionewa wanyonge kama mhanga nayemuongelea
Au wewe unaonaje Brooooo
hahaha ni kweli kabisa...Hahahaa. Cheka tu ndugu yangu maisha ndio haya haya.
tunashukuru sana kwa kutupa moyo mpendwaKibamia sio ugonjwa halaf sio wanawake wote wanapenda mandingo
Kwani mpendwa nawe una kilemutuztunashukuru sana kwa kutupa moyo mpendwa