Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

steveachi kwani na Wewe una Njiti ya Kibiriti ( Okra ) mdogo wangu?


Hahahaaaaa,broo sisi ni watetezi wa wanyonge tu.

Upo brooooooo?

Mkuyenge wangu unaujua vizuri sana bro ukizingatia wewe ni mybloody broooooo.

Jane yule wa Sinza uliyempaga dollar 100 fake baada ya kumkayee alivyoleta tamaa zake za pesa mbele hadi mtoto wa mjini wewe ukamfanyia umafia ule alikimbia mechi baada ya kuona dhakahari yangu kaka .

Kuwa kwetu sawa tusikae kimiya wakionewa wanyonge kama mhanga nayemuongelea

Au wewe unaonaje Brooooo
 
😀😀😀😀😀
aisee umejua kunichekesha asubuhi hii mpendwa
 

Mi nimemtetea kwa kudhalilishwa mkuu,angelikuwa ni ndugu yako wa karibu ungelifurahia japo ndio maumbile yake?
Kwani wenye maumbile makubwa wamejiumba wenyewe??

Kuna utani wa kutaniana ila sio kwa vya ndani kama vile mkuu
 
Mtu mwenye hekima na busara, mara zote huwa anaakiba ya maneno pale anapozungumza. Kwa hili uko sawa
 
Aliye jitangaza na aliye jidharirisha ni yeye kutokuwa na hekima kwenye machaguo yake kachagua chizi mwenyewe kwani huyo ndiye alikuwa wa kwanza kukutana naye wapo watangulizi hawakutoa habari hizi kosa ni lake ajifunze utulivu kwenye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…