Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Aisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.

Pia pole sana sababu leo utachezea kichambo ambacho hujawahi kipata tangia ujiunge humu. Hivyo jipange.
Hatumchambi jirani.

Unajua sisi wanaume wa mtaani huku hatupo jf, wala facebook wala wapi...
 
Hahahaa. Jirani unajitoa eeeee.

Ila inatakiwa aulize, aambiwe sababu huenda ikawa anawajua kwa maandishi tu hivyo hajui hata kiuhalisia mnaishi maisha ya aina gani.
Anachokitafuta atakipata tuu. Ukute alisha chezewa saana na jamaa wa jf na facebook. Analeta ushuhuda indirect
 
Aisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.

Pia pole sana sababu leo utachezea kichambo ambacho hujawahi kipata tangia ujiunge humu. Hivyo jipange.
Ha ha ha ha yaani nilivyoona uzi wake nikasema huyu atashushuliwa humu mpaka ajute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…