Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
[emoji1]Kweli mkuu. Inaonekana wanaume wote wa kwenye mitandao kaishatembea nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1]Kweli mkuu. Inaonekana wanaume wote wa kwenye mitandao kaishatembea nao
Mkumbusheni tu kuwa mwenzake kaaga dunia, kama ni kweli lakiniMkuu kuna kahaba wa kiume?! Huyo ni walewale wakina kaoge.
[emoji1] nadhani atasoma mkuu.Mkumbusheni tu kuwa mwenzake kaaga dunia, kama ni kweli lakini
Iiiiih!!!!!yani wewe nomaaaKwa hiyo huko ndiko umehamishia biashara baada ya kukosa soko Facebook&jamii forums??
AiseehJf ina mataahira mengi
Mwenzake aliaga dunia kwa kufanyajeMkumbusheni tu kuwa mwenzake kaaga dunia, kama ni kweli lakini
Mi pia sipo jf wa facebook.
Kalikoroga muache anyweAisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.
Pia pole sana sababu leo utachezea kichambo ambacho hujawahi kipata tangia ujiunge humu. Hivyo jipange.
Hatumchambi jirani.Aisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.
Pia pole sana sababu leo utachezea kichambo ambacho hujawahi kipata tangia ujiunge humu. Hivyo jipange.
Hahaha ndio mana nikqsema sio wote my shemMi pia sipo jf wa facebook.
Nipo mtaaani tuu
Hahahaa. Sawa mkuuKalikoroga muache anywe
Hahahaa. Jirani unajitoa eeeee.Hatumchambi jirani.
Unajua sisi wanaume wa mtaani huku hatupo jf, wala facebook wala wapi...
Anachokitafuta atakipata tuu. Ukute alisha chezewa saana na jamaa wa jf na facebook. Analeta ushuhuda indirectHahahaa. Jirani unajitoa eeeee.
Ila inatakiwa aulize, aambiwe sababu huenda ikawa anawajua kwa maandishi tu hivyo hajui hata kiuhalisia mnaishi maisha ya aina gani.
Dume hili mzee....We kahaba tu
Ha ha ha ha yaani nilivyoona uzi wake nikasema huyu atashushuliwa humu mpaka ajuteAisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.
Pia pole sana sababu leo utachezea kichambo ambacho hujawahi kipata tangia ujiunge humu. Hivyo jipange.