Hahahahaha Dada huyo simtetei.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka shemeji ukiona haujatetewa basi tena. Labda.....
cute b njoo umtetee shemeji yangu.
Hahaaa!! Kafanyaje tena?Hahahahaha Dada huyo simtetei.
Kweli kabisa...Biashara matangazo.
Pumbavuuuuuu, ina maana wewe upo humu kutafuta wanaume wa kukutia ama umefuata nini humu. Hebu funguka bana usiongelee pembeni pembeni.Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Nan ss kinamuwasha ww au yy?Shogaangu naona kinawasha
Siku hizi kawa cheater hatari my dadaHahaaa!! Kafanyaje tena?
Anacho cha kujibu sasa. Akija anasema kwa emoji tyuuuOooh kumbe!!
sumbai una kesi ya kujibu huku.
Kupitia pm![emoji53][emoji53][emoji53]twiter unapataje mtu?
Wachovu Wa nn???