Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Njoo uchukue kwangu, nshapokea hela za korosho
 
Badoo kuna wanaume huko?,mbona walioko huko wengi ni wauzaji tu?
 
Hizo picha umescreenshot IG yet unaongelea fb na JF vip kodi ya vile vinanda vyenu pale mwananyamala ishaisha?
Kama ndio basi laleni nje hakuna wa kubaka mavi yenu.mnachefua.
 
Back
Top Bottom