Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

Saivi hakuna mwanamke anaejielewa anaejishughulisha na mwanaume kwa hicho kiwango saivi kuna mambo mengi Muhimu ya kufanya

pia wewe na baadhi ya wanaume wenzio punguzeni kujipa umuhimu sana ambao pengine mnao kidogo au hamna kabisa
Mtibeli njoo uone huyu
 
Ameshaona tayari mbona

Dunia ya leo sio ile enzi za mawe huko
Kwa hali ya sasa sio mwanamke au mwanaume anaepaswa kujipa umuhimu kupiliza kwa mwenzie


Ukiwa huna kazi, kipato, ukiwa maskini na ni mwanamke, automatically mwanaume kwako ni zaidi ya muhimu.
Asilimia 80% ya wanawake ni tegemezi kwa wanaume.
Hilo weka akilini.
 
Ameshaona tayari mbona

Dunia ya leo sio ile enzi za mawe huko
Kwa hali ya sasa sio mwanamke au mwanaume anaepaswa kujipa umuhimu kupitiliza kwa mwenzie
Mimi nachojua umuhimu hailingani, kila mtu ana umuhimu wake be a female or Male
 
Ukiwa huna kazi, kipato, ukiwa maskini na ni mwanamke, automatically mwanaume kwako ni zaidi ya muhimu.
Asilimia 80% ya wanawake ni tegemezi kwa wanaume.
Hilo weka akilini.
Au sio Mtibeli okay

Na mimi nakupa hii ishi nayo sio kila mwanamke anaweza kulamba miguu ya mwanaume

NB : sio kila mwanamke unafaa kujipa umuhimu mbele yake
 
Ni kweli ila je mkuu hapa TANZANIA umeangalia ni wanawake wenye uwezo wa kuwa financial independent

Ni asilimia ngapi ?
 
Mimi nachojua umuhimu hailingani, kila mtu ana umuhimu wake be a female or Male
Exactly na ndio nachomwambia huyo kua mwanaume asije umuhimu sana kwa mwanamke umuhimu kama anao utaonekana tu

Hata kwa mwanamke ni hivyo hivyo hakuna haja ya kujitutumua nakujipa umuhimu kama umuhimu unao utaonekana tu
 
Kuna mmoja namtafutia sababu tu, hii kuhudumia watu wanaopumua si kazi rahisi.
 
Nasoma comments za Waja, maana najua mtifuano hapa ni lazima.
Niko na 🍿
 
WANAUME WENGI WAKIKUCHOKA HUTAMANI UWA-CHEAT ILI WAKUFUMANIE KISHA WAKUFUKUZE

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Tena ukute ndio mama wa nyumbani, beki Tatu, huna kazi wala kipato. Kwenu mafukara. Aiseeh! Binti zangu. Mmekwisha.

Kila siku nawaambia mnisikilize. Baadhi yenu wakaidi. Jitahidi mfanye kazi za kuzalisha kipato. Hakikisheni mnatija na uwezo wa kujitegemea.

Msikalie, mimi mzuri. Uzuri gani? Hamnaga huo uzuri wowote. Hizo ni akili tuu za nyegenyege. Wanaume tukishakuwaga na Nyege mara nyingi tunawaona wazuri hata kama hamna uzuri wowote. Na sio muda wote sisi kaka, Baba, waume na Wanaume zenu tunakuwa na hizo Nyege.

Nitawaambia ukweli wote. Wanawake wale wazuri kama malaika ni wachache sana. So msijidanganye wala msidanganywe kwamba ninyi ni wazuri na mtautumia uzuri wenu kama silaha. Mtakwisha. Mtaumizwa. Mtateseka sana.

Uzuri una depreciate, unachuja. Tena ukiwa maskini, huna kipato unachujika, unadhoofika na kuonekana huna lolote.

Fanyeni kazi. Zalisheni kipato chenu.

Kuna umri wa ku-cheat na mwanaume wako akajisikia vibaya. Kwa sababu bado mbichi, unang'aa, mtoto bado mlenda mlenda.

Wanaume wengi hufurahia mwanamke akiwa tegemezi.
Ukishakuwa tegemezi ni rahisi kuwa mtumwa wa mtu yeyote hapa duniani. Na kwenye ndoa aliyetegemezi huwa mtumwa wa mwenzake. Hasa wale wanaume wasio na uadilifu.

Kosa kubwa ambalo wanawake wengi tegemezi, wasio na mbele wala nyuma. Wasio na kipato, wanalifanya ni kutaka ku- cheat kwa kutaka kulipa kisasi.

Wakati unafikiria ku-cheat ili umuumize mwenzako. Mwanaume wako anakuombea um-cheat ili apate sababu maalumu na yamsingi akufukuze. Kwa sababu ameshakuchoka.

Amekuchoka, huna tija tena. Huna manufaa yoyote. Ushamaliza kuzaa. Kazi za ndani wanaweza kufanya hata mabinti wa kazi ambao wakipewa hata elfu 50 tuu wanazifanya tena kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu.

Wengine, hukuombea um-cheat ili naye awe huru kuku-cheat waziwazi. Yaani anatatufa kisingizio. Ikiwezekana kukuletea wanawake ndani ya nyumba. Au wakupigie mpaka simu.

Wanawake lazima waelewe. Mnapoambiwa kufanya kazi za uzalishaji. Ni kwaajili yenu wenyewe. Tena hasa ukijijua huna uzuri wowote wa maana wa kumbabaishia mtu. Labda mpaka wenye nyege zao au walevi waliolewa.

Lazima binti yangu ufanye kazi. Ujimudu. Ujitegemee.

Hakuna hasara kwa mwanaume kama kumpoteza mke mchapakazi, mzalishaji wa mali. Hilo kwake ni pigo.
Lakini Mama wa nyumbani kumpoteza hakuna hasara yoyote.

Mwanaume anakusahau siku hiyohiyo. Tena anafikiria bora umeondoka kwani ulikuwa mzigo. Tena ukiongeza na tabia zako za kiburi na jeuri ndio kabisa.

Binti nataka nikuhakikishie. Wanaume wote wa maana Duniani. Huvutiwa na wanawake wenye uwezo wa kuwa Mama(kutegemewa), yaani ni mke alafu hapohapo ni Mama. Mama kwa maana ya pale mwanaume anapokwama kwa vitu vidogo mwanamke anatoa backup.

Sasa badala ya mke kuwa msaidizi. Unakuwa mzigo. Kazi kumchosha mwanaume wawatu.
Unatakiwa mwanamke sio utegemee kumnyima mumeo unyumba. Unyumba? Kuna umri wa kumnyima mumeo unyumba kumshinikiza jambo fulani. Tumia akili binti yangu.

Narudia, ni kosa la kiufundi ufanye cheating ili umkomoe mumeo. Wakati unajijua. Age goo, huna sura kivile, huna uzuri wa kivile. Mwenzako atakuwa amejibiwa maombi.

Ombi la kutamani mke wangu ani-cheat, nimfumanie kisha nimfukuze. Nikimfukuza bila kosa la kueleweka. Jamii Itaniona nazingua.

Mimi nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Pole kwa kuchokwa tafuta mwingne
 
Back
Top Bottom