Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

Saivi hakuna mwanamke anaejielewa anaejishughulisha na mwanaume kwa hicho kiwango saivi kuna mambo mengi Muhimu ya kufanya

pia wewe na baadhi ya wanaume wenzio punguzeni kujipa umuhimu sana ambao pengine mnao kidogo au hamna kabisa
Mtibeli njoo uone huyu
 
Ameshaona tayari mbona

Dunia ya leo sio ile enzi za mawe huko
Kwa hali ya sasa sio mwanamke au mwanaume anaepaswa kujipa umuhimu kupiliza kwa mwenzie


Ukiwa huna kazi, kipato, ukiwa maskini na ni mwanamke, automatically mwanaume kwako ni zaidi ya muhimu.
Asilimia 80% ya wanawake ni tegemezi kwa wanaume.
Hilo weka akilini.
 
Ameshaona tayari mbona

Dunia ya leo sio ile enzi za mawe huko
Kwa hali ya sasa sio mwanamke au mwanaume anaepaswa kujipa umuhimu kupitiliza kwa mwenzie
Mimi nachojua umuhimu hailingani, kila mtu ana umuhimu wake be a female or Male
 
Ukiwa huna kazi, kipato, ukiwa maskini na ni mwanamke, automatically mwanaume kwako ni zaidi ya muhimu.
Asilimia 80% ya wanawake ni tegemezi kwa wanaume.
Hilo weka akilini.
Au sio Mtibeli okay

Na mimi nakupa hii ishi nayo sio kila mwanamke anaweza kulamba miguu ya mwanaume

NB : sio kila mwanamke unafaa kujipa umuhimu mbele yake
 
Ni kweli ila je mkuu hapa TANZANIA umeangalia ni wanawake wenye uwezo wa kuwa financial independent

Ni asilimia ngapi ?
 
Mimi nachojua umuhimu hailingani, kila mtu ana umuhimu wake be a female or Male
Exactly na ndio nachomwambia huyo kua mwanaume asije umuhimu sana kwa mwanamke umuhimu kama anao utaonekana tu

Hata kwa mwanamke ni hivyo hivyo hakuna haja ya kujitutumua nakujipa umuhimu kama umuhimu unao utaonekana tu
 
Kuna mmoja namtafutia sababu tu, hii kuhudumia watu wanaopumua si kazi rahisi.
 
Nasoma comments za Waja, maana najua mtifuano hapa ni lazima.
Niko na 🍿
 
Pole kwa kuchokwa tafuta mwingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…