Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

Kama umebahatika kupata mtoto/watoto. Una savings nzuri kwa ajili ya wanao. Umewaandalia college funds. Umeandika will yako vizuri. Umeishi kwa amani na umejiandaa vizuri. Kwa nini ujivishe bomu na kuoa hawa mabinti wa kisasa hawa wasioeleweka?

Bunafsi sina regrets hata nikifa leo. Nitakufa kwa amani na upendo tosha. Lakini kuanza kuendeshwa na hivi visichana pasua kichwa hivi vya kisasa kwa kweli hapana...

Long live lifetime bachelors [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji91][emoji91][emoji91]
 
✊🏾
 
Kama wewe upo fresh hongera, lakini kitaa mademu mizinguo
Akikuona anaona hela tu anaona fursa inaboa sana
Yaani anaomba vitu kama anakomoa vile kama Danga wakat ni manzi yako
Nilijua mnazungumzia wake zenu kumbe manzi..haya kwaherini.
 
Back
Top Bottom